Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Mkuu kuna vitu inabidi uache...Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.
Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.
Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.
Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.
WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.
BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.
NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Utakuwa huna akili tu. Nina miaka 8 ninabet na sijawahi kuwa chronic kama wewe ndani ya muda mfupi, nastake nacho afford kupoteza, nejishikilia muda wote. Naweza kuamua nibet au niache Kwa siku husika. Siendeshwi na mihemko ila namanage kufanya tu pale nnapohitaji.Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.
Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.
Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.
Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.
WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.
BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.
NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Niliwahi kushauri serikali kuto khipamba kamari na kuipa majina ya kawaida kisa inalipa kodi eti michezo ya kubahatisha" ikiwa haijasajiliwa inaitwa kamari" hili jambo ni la.ovyo kwenye nchi vibaya sana saaa hivi hata watoto hutoroka shule wanaenda kucheza mabonanza ukiacha mia mbili mezani huwezi kuikutaKwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.
Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.
Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.
Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.
WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.
BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.
NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Doooh pole sanaKwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.

Kongole kwa mchango mzuri sana.Kitendo cha kutambua kua betting imekuharibia maisha ni ishara ya kujitambua na kutambua kosa lako,
Bado hujachelewa na umri wako bado unaruhusu,toka huko kwenye betting uanze upya,
Kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa.
kimsingi natamani ata huu ubongo wangu ufute kumbukumbu zote nianze upyaa kabisaa kwa sababu nimebeba mfadhaiko mkubwa sana moyoni mwanguUtakuwa huna akili tu. Nina miaka 8 ninabet na sijawahi kuwa chronic kama wewe ndani ya muda mfupi, nastake nacho afford kupoteza, nejishikilia muda wote. Naweza kuamua nibet au niache Kwa siku husika. Siendeshwi na mihemko ila namanage kufanya tu pale nnapohitaji.
Huwa sichezi dubu Wala aviator sababu sijawahi kushawishika kuicheza baada ya kuona watu wanavyopoteza pesa ndefu Kwa muda mfupi. Nawajua wengi tu waliofunga biashara na kupata makesi sababu ya Aviator. Nmespecialize kwenye mechi peke yake. Kwa upande wangu sijaiona hasara ya mchezo huu, kabisaaa.
Nahitimisha Kwa kusema wewe ndio KIBUA
NDio haiwezekani sasa. Issue ni kukubali na kuanza upya. Utakufa kabla ya siku zakokimsingi natamani ata huu ubongo wangu ufute kumbukumbu zote nianze upyaa kabisaa kwa sababu nimebeba mfadhaiko mkubwa sana moyoni mwangu
Kumbuka amekuambiwa kaathiriwa na bettingtourim managment
tourim=tourism
managment=management
Mimi na mambo ya siasa wapi na wapi? Ulishaona mimi nabishana kwenye mambo ya siasa? Bila shaka utakua umenifananisha tu mkuu.Kongole kwa mchango mzuri sana.
Ukitoa uchawa wako kwa CCM, una ushauri kuntu sana ndugu.
Hapa umeandika kizembe. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kama wewe huna mihemko, shukuru. Huyu muanzisha mada anaonekana kuwa addicted. Unamshambulia mtu aliyekuwa addicted ili iweje? Mpe ushauri wa kuondokana na tatizo lake.Utakuwa huna akili tu. Nina miaka 8 ninabet na sijawahi kuwa chronic kama wewe ndani ya muda mfupi, nastake nacho afford kupoteza, nejishikilia muda wote. Naweza kuamua nibet au niache Kwa siku husika. Siendeshwi na mihemko ila namanage kufanya tu pale nnapohitaji.
Huwa sichezi dubu Wala aviator sababu sijawahi kushawishika kuicheza baada ya kuona watu wanavyopoteza pesa ndefu Kwa muda mfupi. Nawajua wengi tu waliofunga biashara na kupata makesi sababu ya Aviator. Nmespecialize kwenye mechi peke yake. Kwa upande wangu sijaiona hasara ya mchezo huu, kabisaaa.
Nahitimisha Kwa kusema wewe ndio KIBUA
Pole mkuuKwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.
Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.
Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.
Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.
WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.
BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.
NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Uzembe upo na nimejizungumzia Mimi? Nionyeshe sehemu nilipogeneralize kwenye andiko langu ili niione huo uzembe.Hapa umeandika kizembe. Binadamu tumeumbwa tofauti sana. Kama wewe huna mihemko, shukuru. Huyu muanzisha mada anaonekana kuwa addicted. Unamshambulia mtu aliyekuwa addicted ili iweje? Mpe ushauri wa kuondokana na tatizo lake.