Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Orchestra mambo badoTutajenga kesho - Tancut Almasi Orchestra
Kwani wasiojulikana wamerudiπ€π€Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.
Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.
Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?
Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Nadhani ukisha wanyonga hawa hakutakuwepo upinzani wa uwekezaji wa bandari, watu wote wataukubali.Saa100 anajenga au anabomoa??
Sasa wanaenda Ufipa kufanyaje?π€£Ngoja tuone
Nimeona Bavicha hapa Mwenge wamekodi coaster wanaelekea Ufipa st
Itajulikana huko huko πππ₯Sasa wanaenda Ufipa kufanyaje?π€£
Mwisho wake upepo wa korona utatuondolea watesiNgoja tuone, haka kamchezo mwisho wake.
Kumsingizia mtu kesi huwa haimalizi tatizo, hapo tatizo nikulisogeza mbele tu.Habari tulizozipata ni kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atakamatwa na watu wa usalama,muda wowote kuanzia sasa.
Tayari Mdude nyangali , Mwambukusi na Dr Slaa washakatwa.
CCM wameridhia Lissu, Mdude, Mwambukusi,na Dr Slaa wapewe kesi za Uhaini.
Updates tutakuletea punde
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
CCM wameridhia Lissu, Mdude, Mwambukusi,na Dr Slaa wapewe kesi za Uhaini.[emoji3064]Habari tulizozipata ni kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atakamatwa na watu wa usalama,muda wowote kuanzia sasa.
Tayari Mdude nyangali , Mwambukusi na Dr Slaa washakatwa.
CCM wameridhia Lissu, Mdude, Mwambukusi,na Dr Slaa wapewe kesi za Uhaini.
Updates tutakuletea punde
Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app