Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Tunatoana roho yarabi kwa rasilimali walizotuachia waasisi wetu.
 
Bibi Samia hana lolote,tulijua anaweza kuhimili kumbe ni wale wale kama Jiwe tu.Sasa itabidi tumloge tu.Jamani kuloga kwa kutumia maombi .Kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Eeh Mungu tuondolee huu uchafu unaoitwa Samia.
Duh, Kwahiyo MUNGU akisikia maombi yako si itabidi Makamu wa rais aanze kujiandaa?.

MUNGU ibariki Tanganyika na Zanzibar tuwe na amani.
 
On
Habari tulizozipata ni kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atakamatwa na watu wa usalama,muda wowote kuanzia sasa.

Tayari Mdude nyangali , Mwambukusi na Dr Slaa washakatwa.

CCM wameridhia Lissu, Mdude, Mwambukusi,na Dr Slaa wapewe kesi za Uhaini.

Updates tutakuletea punde

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
Ongeza na Martin Maranja Masese
 
Nani anaemchokoza huyu Mzanzibari ?Watu wanatetea Bandari .Yeye hana hoja na anakimbilia Polisi ili kunyamazisha watu.Hana Msuli huyu mama.Tena bora hata Jiwe yeye alishasema kabisa alivyo.Ila Samia ni mnafiki. Anakuchea huku anakuua .Huyu ni Cheka nikuue.
Haaaaaaa

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Tatiizo watu mnachukulia poa sana madaraka ya Rais na kudhani mtabaki salama mkimtukana Rais kwa kigezo cha uhuru wa kutoa maoni. Ibara ya 18 imetoa haki ya uhuru wa kutoa maoni ila haijasema chochote kuhusu haki ya baada ya kutoa maoni.
 
Bibi Samia hana lolote,tulijua anaweza kuhimili kumbe ni wale wale kama Jiwe tu.Sasa itabidi tumloge tu.Jamani kuloga kwa kutumia maombi .Kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Eeh Mungu tuondolee huu uchafu unaoitwa Samia.
Kabla hujaropoka kuhusu Rais na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kumbuka yeye ndo huteua wafuatao;
1. IGP
2. CDF
3. Kamishna wa Takukuru
4. Mkuu wa usalama wa taifa
5. DPP
6. Mkuu wa magereza
7. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
8. Mkurugenzi wa uchaaguzi
 
Duh, Kwahiyo MUNGU akisikia maombi yako si itabidi Makamu wa rais aanze kujiandaa?.

MUNGU ibariki Tanganyika na Zanzibar tuwe na amani.
Yes,walau yeye atatuondolea kina Nape .Na yeye akileta za kuleta ,tunamlilia Mungu tena. Kwanza ombi langu ni hawa CCM wapoteane kabisa. Nchi hii ni yetu sote.Kwa nini ukamate watu wanaohoji kuhusu uuzaji wa Bandari?Tena hapa inadhihirisha kuwa Bandari yetu inachukuliwa kabisa,otherwise Samia asingetumia police wake hao wenye division four form four. Somo walilofaulu ni D ya kiswahili na D ya Civics.
 
Mpaka sasa tuichukulie hii kama tetesi , lakini Taarifa zilizovuja ni kwamba , Baada ya Dr Slaa kukamatwa , wengine wanaotakiwa kukamatwa kama ilivyoagizwa kutoka Juu , Yumo Tundu Lissu , Askofu Mwamakula , Alphonce Lusako aliyefungua kesi ya Mkataba mbovu wa Bandari , pamoja na mawakili wake , Orodha yaweza kuongezeka na tutaendelea kuiboresha kwa kadri tunavyoletewa majina mengine .

Tuendelee kutega sikio hapa Jf kila kitu kitaanikwa hadharani

Hakuna haja ya kuiombea Nchi hii bali tuendelee kumsifu Mungu tu
KUMBE ILIKUWA NI KOSA KUFUNGUA KESI?
 
Usiwe Mjinga Wewe

Hizi siyo Nyakati za kuzusha taharuki kwa Wanafamilia kwa jambo usilo na Ushahidi

Zembwela kakimbilia Mlingotini kujificha hakujua Hili jambo ni kubwa kumzidi
You are stupid, mambo mengine humu tunataniana lkn siyo kwenye jambo nyeti kama hili. Wewe kaa huko uliko, ujue lkn magufuli hakujua kama kuna kufa/atakufa, weka akiba! Kila mmoja anafaamika kwa jina halisi!
 
Kabla hujaropoka kuhusu Rais na mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi kumbuka yeye ndo huteua wafuatao;
1. IGP
2. CDF
3. Kamishna wa Takukuru
4. Mkuu wa usalama wa taifa
5. DPP
6. Mkuu wa magereza
7. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
8. Mkurugenzi wa uchaaguzi
So???

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
ndiyo mtaelewa kwanini wale wasiyojulikana wamepewa haki ya kutokushitakiwa!
 
Back
Top Bottom