byembalilwa
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 2,059
- 946
Try to be smart!!Nani anaemchokoza huyu Mzanzibari ?Watu wanatetea Bandari .Yeye hana hoja na anakimbilia Polisi ili kunyamazisha watu.Hana Msuli huyu mama.Tena bora hata Jiwe yeye alishasema kabisa alivyo.Ila Samia ni mnafiki. Anakuchea huku anakuua .Huyu ni Cheka nikuue.