Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Mama anaupiga mwingi
 
Yes, hatuna jeshi, wala hatuna polisi wala usalama wa taifa.
Ila tuna Mungu mkuu, Bwana wa Majeshi, Mfalme wa vita.
Tufunge, tuombe, tugaregare kwa ajili ya ndugu yetu Boniface Mwabukusi.

Mungu aliye mwema, aliye mkuu atatenda.
Kama Esta alivyowaokoa wana wa Israel, vivyo hivyo ukombozi wa taifa hili uko mikononi mwa wana Mbeya.
 
Tumuombee lakini hoja zijibiwe pia...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
 
An hypothetical situation, fikiria inatokea hawa waliowekwa "kizuizini" mmoja anatokea kuwa Rais 2025, kitatokea nini kwa CCM et al?
Sasa ubalozi wa UAE kivipi? Watu wamekamatwa na serikali ya Tanzania kama maandamano wayafanyie huko huko kwenye balozi za Tanzania

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
Huelewi
 
Nadhani lengo lao ni kuwa Mwambukusi asifile appeal.......
 
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Jimamahili karma yuko njiani anakuja, tuzidi kuomba
 
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Wewe ni mpumbavu daraja la ngapi?, unapenda kila uonapo ubaya wowote ni lazima utoe mfano kwa jpm,au jpm alishawahi kukupumulia?.
 
Yaani hakuna kitu kiliniuma kama kuhamisha wale wamasai kutoka kule Ngorongoro, ili Mwarabu apewe vitalu vya uwindaji na sijui hao warabu wanatajenga hôtel huko.Too sad.
Wacha uongo, Hakuna Mwarabu aliyewahi kuwa Ngorongoro.

Waarabu walikuwa Loliondo na hakuna aliyehamishwa Loliondo. Kampuni ya Otelo ilikuwa na kitalu cha uwindaji kwa kufata kanuni na sheria za Tnzania kama kampuni nyingine zote zenye vialu vya kuwindia.

Wewe ckwaninii huulizi Mmarekeni analiyepewa mamilioni ya eka za ardhi ya Tanzania, kwa sheria na kanuni zipi? Au kwa kuwa siyo Waislam ndiyo huwezi kuuliza lakini Muislam hata anapofata sheria zote inakuwa kafanya kosa kivyako wewe?

Msifikiri kwa uchochezi wenu huo wa kijinga mnaijenga Tanzania.
 
Ushaingiza udini,Ngorongoro kishapewa mwarabu ile sehemu.
 
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Kwa namna serikali inavyofanya sasa hata mpumbavu anaelewa pasi na shaka kuwa; RUSHWA kubwa kabisa ilitumika na inaendelea kutumia kupitisha mkataba huu.
 
Ushaingiza udini,Ngorongoro kishapewa mwarabu ile sehemu.
Wacha uongo. Ngorngoro hakupewa yeyeote.

Kama Uislam ndiyo udini, basi hapo utaumia sana. Huna pakuukwepa.

Vipi yule Mmarekani ana eka ngapi apewa, kwa sheria ipi ndani ya hifadhi ya Serengeti? Au yupo nje ya hifadhi yule?

Mmarekani alipewa na nani? Mwinyi, au Kikwete? au Mama Samia? Mbona unapata kigugumizi hapo?

Hakuna Mwarabu aliyepewa hata eka moja ndani ya hifadhi.
 
Kamata kamata hii siyo ya wapinga bandari, msiseme uongo, Wambura hamjasikia? Kuna mtu kafunguliwa mashtaka ya kupinga bandari?
 
Kwa namna serikali inavyofanya sasa hata mpumbavu anaelewa pasi na shaka kuwa; RUSHWA kubwa kabisa ilitumika na inaendelea kutumia kupitisha mkataba huu.
Serikali inavyofanya nini "sasa"?

Hiyo "rushwa" unayoiongelea ni ipi na wapi na kwa ushahidi upi? TAKUKURU huijuwi?

Kuna serikali yenye uwazi zaidi ya hii ya mama Samia?
 
Bibi Samia hana lolote,tulijua anaweza kuhimili kumbe ni wale wale kama Jiwe tu.Sasa itabidi tumloge tu.Jamani kuloga kwa kutumia maombi .Kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Eeh Mungu tuondolee huu uchafu unaoitwa Samia.
Umevuka mpaka wa kutoa maoni,watch out.
 
Back
Top Bottom