Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Leo Bibi upo moto kwelikweli 😂😂😂😂😂😂😂😂. Au zile tetesi kuwa wewe ndio fake id ya bitozo ni kweli au uongo? Au wewe ni shoga yake bitozo? Au basi nisikusumbue Bibi.

Au bitozo ana id nyingine anayotumia kuzururia humu jf?
Leo kigagula kafurahi wanamapinduzi kukamatwa, yuko moto kweli kweli na nadhani leo atatafuta mkwaju
 
Leo kigagula kafurahi wanamapinduzi kukamatwa, yuko moto kweli kweli na nadhani leo atatafuta mkwaju
Huyu Bibi huwa hata kama kitu ni kosa kubwa tena la wazi. Ila likifanywa na Muislamu yeye anaona ni sahihi 😂😂😂. Huyu Bibi namuwekaga kwenye kundi la wazee wa Hovyo 🤣🤣 kama akina wasira 🤣🤣🤣

Najiuliza kama Tundu lissu au mbowe au mwabukusi waangekuwa muislamu sijui angesemaje. Yaani mfano uongozi wa chadema na wale wanaopinga bandari wangekuwa waislamu sijui angesemaje.
Tundu Ahmed Lissu
Mohammed Chacha Heche
Rajab Anyisile Mwabukusi
Ismail Mohammed Mbowe
Said Ahmed Madeleka
Ramadhan Musa Slaa

🤣🤣🤣🤣
Nawaza tu Bibi yetu wa Hovyo angekuwa upande gani ?🤣🤣🤣
 
Bibi Samia hana lolote,tulijua anaweza kuhimili kumbe ni wale wale kama Jiwe tu.Sasa itabidi tumloge tu.Jamani kuloga kwa kutumia maombi .Kwa Mungu hakuna lisilowezekana. Eeh Mungu tuondolee huu uchafu unaoitwa Samia.
Mna bahati sana ingekua ni mimi ningewapoteza kabisa sipendi watu wajinga mimi.
 
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.[emoji419][emoji375]
 
Mpaka sasa tuichukulie hii kama tetesi , lakini Taarifa zilizovuja ni kwamba , Baada ya Dr Slaa kukamatwa , wengine wanaotakiwa kukamatwa kama ilivyoagizwa kutoka Juu , Yumo Tundu Lissu , Askofu Mwamakula , Alphonce Lusako aliyefungua kesi ya Mkataba mbovu wa Bandari , pamoja na mawakili wake , Orodha yaweza kuongezeka na tutaendelea kuiboresha kwa kadri tunavyoletewa majina mengine .

Tuendelee kutega sikio hapa Jf kila kitu kitaanikwa hadharani

Hakuna haja ya kuiombea Nchi hii bali tuendelee kumsifu Mungu tu
Wewe mbona hujiweki kwenye orodha unawasakizia wenzako tu? .Hahaha ila nakukubali we chadema mjanja hutaki matatizo na serikali.
 
Katiba Kwa Sasa ni muhimu! Hata Hilo li mwenge linatufanya tuwe kama kondoo ujue!!!! Tulikatae haiwezekani watu wachache walazimishe kufanya jambo lililokataliwa na wenye nchi halafu watu hatuchukui hatua za kikatiba kukataa huu unyanyasaji.
Hata hiyo katiba unayoifikiria kichwani mwako ingekuwepo leo hii, kwa hali ilivyo sasasa hiyo katiba isingekuwa na maana yoyote.
Hata hii mbovu iliyopo sasa haisemi haya yanayotokea inayaunga mkono.

Kujipa matumaini na kitu kisichokuwepo ni kama kukata tamaa tu kutoweza kufanya lolote kujinasua na hali inayokukandamiza.
Inabaki kutafutiza visababu tu vya pembeni kuhalalisha kukata tamaa huko.
 
KWAMBA ZOEZI HILI LILIANZA MBALI SANA.
KWANZA WALIANZA KU-MPUMZISHA MZALENDO WA KWELI.
PILI, KWA MSAADA WA MWANAMKE WANAFANYA WATAKACHO.
 
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Hii ndiyo sura halisi ya wahafidhina waliopo ndani ya CCM. Wakiona kuna dalili za kutaka kupoteza umiliki wa dola wako tayari kufanya jambo lolote lile la kidhalimu.
 
Mna bahati sana ingekua ni mimi ningewapoteza kabisa sipendi watu wajinga mimi.

Na Ndiyo maana hujawa.

Mwenyezi Mungu angekuchukua gafla .

Imeandikwa : Hekima itokayo juu imejaa rehema, ipo tayari kusikiliza mawazo ya wengine,
Haihusudu,

Nitaweka reference ya andiko hili badae.
 
Mna bahati sana ingekua ni mimi ningewapoteza kabisa sipendi watu wajinga mimi.

Kama ni hivyo hufai kuwa kiongozi wa watu.

Kuwa kiongozi wa watu si lelemama.

Kama hujajifunza kuwa na subira na kustahamili basi usiwaze Kuwa kiongozi watu,

Wakikuteua unayo haki ya kukataa ili uepukane na laana na kukataliwa.
 
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Ukiona hivyo jua mtawala elimu yake ya kuungaunga,hawezi jibu hoja
 
Nimesikia kwenye klabu house dada mmoja yuko Marekani kasema Watanzania walioko nje za nchi waende kuandamana kwenye ubalozi wa UAE na Tanzania duniani kote kupinga kukamatwa kwa hawa watu.Hili ni jambo zuri kutafuta haki na amani Tanzania.
Sasa ubalozi wa UAE kivipi? Watu wamekamatwa na serikali ya Tanzania kama maandamano wayafanyie huko huko kwenye balozi za Tanzania

Sent from my ATU-L31 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom