Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Pinga maeneo mengine yote, lakini sio hilo la daily quantity ya huo uchafu. It’s a googleable fact!
Hebu tuache ujinga asee, hapa point ni hizo kinyesi kufanya uharibifu wa mazingira hizo issue za fact doesn't make change.

Hizi mifugo zimeanza kushusha mzigo kipindi hiki na kuharibu mmazingira, na je mifugo imekuwa mingi kipindi hiki?.
 
Hebu tuache ujinga asee, hapa point ni hizo kinyesi kufanya uharibifu wa mazingira hizo issue za fact doesn't make change.

Hizi mifugo zimeanza kushusha mzigo kipindi hiki na kuharibu mmazingira, na je mifugo imekuwa mingi kipindi hiki?.

Usidandie train kwa mbele; elewa kwanza anayejibiwa anajibiwa kitu gani.
 
"Ng'ombe mmoja wa kienyeji kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU wakati kipindi cha kiangazi"

Mkuu, hii ni "professorial rubbish" nyingine tena ilitolewa na kamati inayoongozwa na Professor.
 
Kiufupi ukipitia ripoti mbalimbali za wanaharakati toka mwaka 2013 kumekua na malalamiko ya mto mara na tigithe juu ya utiririshaji wa madini yanayotokana shughuli za madini...hatua imepelekea watu wengi kupata matatizo ya kiafya na hata mifugo kufa kutokana na athari hiyo.

Sasa leo Kamati imekuja na kutoa majibu mepesi katika maswali magumu unajiuliza

1. Lengo la kuundwa kwa kamati hii ni nini?

2. Je, Kamati hii ni jumuishi? Yani imejumuisha watu au makundi gani na utaalum wao katika kutafuta ukweli wa kile kilichozungumzwa?

3. Hadidu za rejea katika kamati hiyo ni zipi?

4. Kwasababu findings zinaonesha sio sumu, je mapendekezo yao wananchi waendelee kutumia maji kwa shughuli za kilimo?
5. Kabla, ya kupokea findings za kamati na kuzitangaza, wazir husika hakupata briefings ya findings ili aweze kujiridhisha? Au ni uvivu wa kujisomea na PhD za michongo?

Hivi Mwenyekiti wa kamati hii anawachukuliaje watanzania?
 
Nchi nzima inajua kwamba ile report ni ya mchongo na kufanyana wajinga, kwa mwendo huu sasa samaki wa ziwa victoria ni hatari kuwala maana cows washasingiziwa na mabeberu yako huru kumwaga sumu zao mtoni maana profesa keshatoa majibu ya utafiti wake na tume yake isiyoeleweka

Pamoja na mapungufu ya the late Jpm kwenye hili uhakika ni kwamba angesimama na raia
 
Siungi mkono raia kujipangia majibu wayatayo yatakayopatina kutokana na uchunguzi unaofanywa na tume zinazoundwa!! Siungi mkono kabisa, hata hivyo, ninashangazwa na baadhi ya tume kuja na majibu yakutia wasiwasi wapokea majibu.
 
Kwani hizo sumu zimeanza kumwagwa2022??
 
Kwa hiyo kuna possibility kubwa sana kuwa hicho ndicho kilichofanyika na siyo samadi na mikojo ya ng'ombe ambao wako huko miaka yote.
 
Samaki wanaovuliwa Ziwa victoria wapo wanaosafirishwa hadi nje ya nchi hivyo kwa uzembe huo tunaua soko la samaki nje ya nchi.

Kwa ulafi wa watu wachache tu.
 
Inashangaza mavi ya ng'ombe kuua samaki hivi. Ukifuga samaki katika bwawa unaweka kinyesi cha ng'ombe kwe kiroba/viroba unafunga vizuri kisha unatumbukiza bwawani baadae wadudu wanazalisma kwenye hicho kinyesi na kuliwa na samaki.
Tumefundisha na kufanya hivyo.
 
Haya Sasa sijui kwakweli
Ila nawashauri wasile wale samaki
Mkojo na kinyesi cha ng'ombe ndoo Chakula kizuri Kwa samaki
Makarine yote hatujaonaga hayo Leo hii vipi
 
Mimi nawakumbuka maprofesa waliokuwa wanakuja shuleni kufanya mazingaombwe, mwingine ni majimarefu
[emoji1][emoji16][emoji1787][emoji23] Uzi huu nacheka kila Comment Inaishinda nyingine.....

Profesa na mazingaombwe....[emoji23]
 

Naifananisha hii ripoti ya kitapeli na ile ya kitapeli kuhusu madini ya profesa Ossoro wakati wa Magufuli.
 
Naifananisha hii ripoti ya kitapeli na ile ya kitapeli kuhusu madini ya profesa Ossoro wakati wa Magufuli.
Naifananisha hii ripoti ya kitapeli na ile ya kitapeli kuhusu madini ya profesa Ossoro wakati wa Magufuli.
nakuhakikishia kwenye hili angesimama na walaji samaki na afya za wana mara na huyo Jaffo angekuwa keshatimuliwa zamani
 
None sense!!
 
Tumefundishwa mavi ya ngo'mbe ni chakula Cha samaki leo iweje leo iue samaki ?
 
Samaki wanaovuliwa Ziwa victoria wapo wanaosafirishwa hadi nje ya nchi hivyo kwa uzembe huo tunaua soko la samaki nje ya nchi.

Kwa ulafi wa watu wachache tu.
Ripoti inahusu mto mara sio ziwa Victoria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…