Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Pinga maeneo mengine yote, lakini sio hilo la daily quantity ya huo uchafu. It’s a googleable fact!
Hebu tuache ujinga asee, hapa point ni hizo kinyesi kufanya uharibifu wa mazingira hizo issue za fact doesn't make change.

Hizi mifugo zimeanza kushusha mzigo kipindi hiki na kuharibu mmazingira, na je mifugo imekuwa mingi kipindi hiki?.
 
Usidandie train kwa mbele; elewa kwanza anayejibiwa anajibiwa kitu gani.
 
Endapo Ng'ombe mmoja wa kienyeji atafanikiwa kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU kipindi Cha kiangazi, je atatoa uchafu kiasi Gani kipindi Cha kiangazi?

Je uchafu huu uzaliwa ukanda mmoja tu wa mto mara au Hali hii IPO Katika maeneo mengine nchini? Mbona hakuna rekodi ya Matokeo ya utafiti kama huu Toka kuumbwa Kwa Dunia?

Kupitia tafiti hizi za maprofesa: Kwako wewe msomaji, unadhani Profesa ni mtu wa aina gani? Ungetamani kuitwa profesa?

Unadhani kwanini Dr. Jafo kaelekeza kamati ikaandae Taarifa badala ya kupokea Taarifa? Je, profesa amewasilisha Taarifa ambayo haijakamilika? Findings zake amezitoa wapi? Vipi kuhusu recommendations?
"Ng'ombe mmoja wa kienyeji kuzalisha kilo 25 za kinyesi na lita 21 za mkojo Kwa SIKU wakati kipindi cha kiangazi"

Mkuu, hii ni "professorial rubbish" nyingine tena ilitolewa na kamati inayoongozwa na Professor.
 
Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na nguvu za asili...
Kiufupi ukipitia ripoti mbalimbali za wanaharakati toka mwaka 2013 kumekua na malalamiko ya mto mara na tigithe juu ya utiririshaji wa madini yanayotokana shughuli za madini...hatua imepelekea watu wengi kupata matatizo ya kiafya na hata mifugo kufa kutokana na athari hiyo.

Sasa leo Kamati imekuja na kutoa majibu mepesi katika maswali magumu unajiuliza

1. Lengo la kuundwa kwa kamati hii ni nini?

2. Je, Kamati hii ni jumuishi? Yani imejumuisha watu au makundi gani na utaalum wao katika kutafuta ukweli wa kile kilichozungumzwa?

3. Hadidu za rejea katika kamati hiyo ni zipi?

4. Kwasababu findings zinaonesha sio sumu, je mapendekezo yao wananchi waendelee kutumia maji kwa shughuli za kilimo?
5. Kabla, ya kupokea findings za kamati na kuzitangaza, wazir husika hakupata briefings ya findings ili aweze kujiridhisha? Au ni uvivu wa kujisomea na PhD za michongo?

Hivi Mwenyekiti wa kamati hii anawachukuliaje watanzania?
 
Nchi nzima inajua kwamba ile report ni ya mchongo na kufanyana wajinga, kwa mwendo huu sasa samaki wa ziwa victoria ni hatari kuwala maana cows washasingiziwa na mabeberu yako huru kumwaga sumu zao mtoni maana profesa keshatoa majibu ya utafiti wake na tume yake isiyoeleweka

Pamoja na mapungufu ya the late Jpm kwenye hili uhakika ni kwamba angesimama na raia
 
Siungi mkono raia kujipangia majibu wayatayo yatakayopatina kutokana na uchunguzi unaofanywa na tume zinazoundwa!! Siungi mkono kabisa, hata hivyo, ninashangazwa na baadhi ya tume kuja na majibu yakutia wasiwasi wapokea majibu.
 
Nchi nzima inajua kwamba ile report ni ya mchongo na kufanyana wajinga, kwa mwendo huu sasa samaki wa ziwa victoria ni hatari kuwala maana cows washasingiziwa na mabeberu yako huru kumwaga sumu zao mtoni maana profesa keshatoa majibu ya utafiti wake na tume yake isyoeleweka

Pamoja na mapungufu ya teh late Jpm kwenye hili uhakikak ni kwamba angesimama na raia
Kwani hizo sumu zimeanza kumwagwa2022??
 
Point yako ya pili (2) upo correct mkuu,kwa kufanya oxidation ili ku degrade cyanide level ni gharama sana...hata method nilioanisha mimi ya kufanya dilution nayo cost yake sio ndogo...Kama wanaepuka na kuchepusha hizo tailings kwenye mazingira basi watakua hawatutendei haki
Napenda watu wa aina yako tunajadili mambo kwa hoja
Kwa hiyo kuna possibility kubwa sana kuwa hicho ndicho kilichofanyika na siyo samadi na mikojo ya ng'ombe ambao wako huko miaka yote.
 
Samaki wanaovuliwa Ziwa victoria wapo wanaosafirishwa hadi nje ya nchi hivyo kwa uzembe huo tunaua soko la samaki nje ya nchi.

Kwa ulafi wa watu wachache tu.
 
Inashangaza mavi ya ng'ombe kuua samaki hivi. Ukifuga samaki katika bwawa unaweka kinyesi cha ng'ombe kwe kiroba/viroba unafunga vizuri kisha unatumbukiza bwawani baadae wadudu wanazalisma kwenye hicho kinyesi na kuliwa na samaki.
Tumefundisha na kufanya hivyo.
 
Haya Sasa sijui kwakweli
Ila nawashauri wasile wale samaki
Mkojo na kinyesi cha ng'ombe ndoo Chakula kizuri Kwa samaki
Makarine yote hatujaonaga hayo Leo hii vipi
 
Mimi nawakumbuka maprofesa waliokuwa wanakuja shuleni kufanya mazingaombwe, mwingine ni majimarefu
[emoji1][emoji16][emoji1787][emoji23] Uzi huu nacheka kila Comment Inaishinda nyingine.....

Profesa na mazingaombwe....[emoji23]
 
Nchi nzima inajua kwamba ile report ni ya mchongo na kufanyana wajinga, kwa mwendo huu sasa samaki wa ziwa victoria ni hatari kuwala maana cows washasingiziwa na mabeberu yako huru kumwaga sumu zao mtoni maana profesa keshatoa majibu ya utafiti wake na tume yake isyoeleweka

Pamoja na mapungufu ya teh late Jpm kwenye hili uhakikak ni kwamba angesimama na raia

Naifananisha hii ripoti ya kitapeli na ile ya kitapeli kuhusu madini ya profesa Ossoro wakati wa Magufuli.
 
nakuhakikishia kwenye hili angesimama na walaji samaki na afya za wana mara na huyo Jaffo angekuwa keshatimuliwa zamani
 
Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na nguvu za asili...
None sense!!
 
Inashangaza mavi ya ng'ombe kuua samaki hivi. Ukifuga samaki katika bwawa unaweka kinyesi cha ng'ombe kwe kiroba/viroba unafunga vizuri kisha unatumbukiza bwawani baadae wadudu wanazalisma kwenye hicho kinyesi na kuliwa na samaki.
Tumefundisha na kufanya hivyo.
Tumefundishwa mavi ya ngo'mbe ni chakula Cha samaki leo iweje leo iue samaki ?
 
Samaki wanaovuliwa Ziwa victoria wapo wanaosafirishwa hadi nje ya nchi hivyo kwa uzembe huo tunaua soko la samaki nje ya nchi.

Kwa ulafi wa watu wachache tu.
Ripoti inahusu mto mara sio ziwa Victoria.
 
Back
Top Bottom