Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

Kisamvu ni majani ya muhogo..

Mbona haitudhuru sisi imdhuru mbuzi? .

Kisamvu ni majani ya muhogo..

Mbona haitudhuru sisi imdhuru mbuzi? .
Ni jamii flani ya mihogo ndio source ya cyanide...mfano sio kila mihogo inafaa kwa kuchemsha na kuliwa na hii ndio majani yake yana madhara kwa mbuzi na binadamu eg mihogo inayoandaliwa kwa ajili ya unga majani yake huwez tengenezea kisamvu na aina hii ya mihogo ndo hutumika kutengenezea cyanide
 
Contaminaton
 
Mimi naona tufanye hivi, kama Kuna mtu anaushahidi wa uchafuzi kuwa ni mgodi leteni tupost kwenye mitandao, nguvu ya internet haijawahi kufell
 
Kamati ikiandaa ripoti yake ya mikojo na vinjesi😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
 
Tangu Babu wa Babu wanafuga mifugo Mara!! hata kabla ya Utumwa na baadaye Mkoloni!! Kinyesi cha ng'ombe ni chakula kizuri cha samaki kizuri tena sana tu! iweje wasikile but kituame chini ya maji??! sato, Sangara, mbofu, njegere, Ningu nk WAlikula miaka nenda rudi!!

sasa leo chakula kiwe sumuuu??? hata km mtu hujasoma!! siyo kwa ujinga huu!! kwa nini basi ngombe wenu km wanatoa sumu kwa nini wasife wao kwanza?? make nao si ni viumbe wana damu na ni chakula cha binadamu?? inawezekana wamekula nyasi zilizo athiriwa na

Sumu zinazo tokana na shughuli za uchimbaji migodini!! ambayo uchimbaji huo wa migodi ya Bongo Nyerere aliukataa katakata!!.......au laa basi km ni ivo mjue ng'ombe anakula nyasi tu amabazo zipo hata kabla ya ziwa kwa mantiki hiyo .... na nyasi nazo tayari zina ugonjwa manake zichomwe moto!! na km nyasi zinaugonjwa Mazo pia yanaugonjwaa,, km mazao ya ugonjwa hamjafa njaa?? lkn hata ukichoma haiondoi chemikali za sumu zilizoko ardhini!! sasa leo jiwe na mipango yake ile mibovu aliwakubalia haya ndo matokeo yake haya ......ndo laana za nyerere sasa zina watafuna!

Halafu mna kuja na hoja hafifu saaana tena ya kizembe eti kiwanda kiko mbali!!... mbali ya wapi??, maji yooote yanatiririka kuelekea ziwani yooote!! hata yale ya kutoka Mto Kaweranga kureee Tarime juu/kibumaye/Kiribho yana mwelekeo wa ziwani via mto Mara tu!

wana Mara-Ukerewe msikubali ujinga huu na kuacha Legacy tamu!! ya Nyerere!! km vipi shughuli za Migodi zisimamae kwa muda kwanza!...kupisha uchunguzi!

Nashauri haya ili iwe ni kwa Lazima siyo ombi !! kamati ya wazee wa kimira wa Mara!!! msikubali kuburuzwa hivyo!! lazima wazee wetu mshirikishwe na siyo ombi! haiwezekani Proffesor Nyamabhi! atoke huko aliko toka kavembewa na posho ya vihepe!!

aje hapo atoe Maamuzi anayo dhani ni sahihi bila kuwashirikisha watu ambao wamezaliwa hapo miaka nenda rudi vizazi na vizazi mmekaa hapo miaka nenda rudi, hiyo ni dharau mbaya kwa maisha yenu na watoto wenu, na ndo matokeo yake haya!!....

anatakiwa Proffesor Mzalendo ndo aongoze kamati ya uchunguzi wa Mkoani kwao sababu anapajua na hawezi kulishwa hongo!! tena wapo weeengi tu kina Prof chacha wangwe, Marwa Nzige, Dr Chrispin Bwire Manyonyi, winani, Ghesase, Wankyo nk, wale!!

hiyo team ya uchunguzi pia ihusishe Wazee wa Kimila wa Mkoa wa Mara, tit for tat!! na kwa uwazi ni vizee/wazee wenu tangu zamani, tunawaamini!! hakuna jinsi!!...wanajua Mazingira yao wanamoishi!!....haijalishi amesoma au haja soma watafsiri wapo!!

Kwanza wale wanaweza kuita mvua tu ikasafisha Mkoa mzima tunawaamini!! jinsi navo wajua wenyeji wa Mara nawauliza hivi ...Huyo Professor Naomba kujua wana Mara,... bado huyo anapumua kweli??? tena oxygen ya Mkoa wa Mara??......

Mlifanywa nini siku hizi Mkoani hapo ???......hapana labda siyo Mara nayoijua!!..huyo hadi sasa angekuwa amesha potea!! bila kujali mazingira....mie nadhani Majabali ya Mkoa!! serikali iliyahamisha kwa siri kwenda kipunguni, Mtwara na Lindi si kwa utoporo huu!

Wastaafu wa jesi mko wapi Bhaana..mnakupari uchinga uchinga kye Bhasaghane!! turiwapereka jesini iri muwese ghutetea mukoa ya mara sasa namna ghani Muraa! ghwanza alibhita bhitache akafika siwani!
 
Hawa ng'ombe mwenye kinyesi 25kg na mkojo 21litre per day wapo nchi hii kweli?. Amekuwa tembo, mbona wanataka kutuona hatuna akili za kufikiria?.
 
Tunajivuna kuwa na wewe akhsante sana
 
Hawawezi kuwajibishwa kwa kutoa ripoti zinazowafurahisha mabosi wao, labda wawajibishwe na wananchi
 
Endeleeni kuwatetea mabeberu huku watanzania wenzenu wakiangamia na magonjwa ya cancer
Sijui Beberu ana nini yule? au ni sisi wenyewe?? uchunguzi wa siri unatakiwa ufanyweee!! tujue tatizo liko wapi!!.....yaani wakisoma sana wanakuwa wajinga wajinga hivi.....na professors wa miaka hii ya leo hii hawajazaliwa zamani sana!!...hawa tumewasomesha wenyewe humu humu!

Hkn cha PRof wa Makerere wala Yale au cambridge!!! sasa tujiulize waaalimu wetu ni vilaza au......Make wale wa Enzi za umri wa kina Proffessor Sarungi na wenzake walikuwa si wajinga ki-ivi!....na wengi karibu wote wale wazee ilikuwa ni nje ya nchi tupu!

so walikuwa na uzalendo wa kweli...kM Sarungi, NYerere, wangwe, nk huyu sarungi alioa huko kapewa kazi nzuri huko!! lkn akaomba kurudi nchini!!...sasa hawa wa leo walitamani kusoma huko wakazimwa ...mbaa!! no ni humuhumu!...ndo wanazidi kuwa wajinga wajinga.

Bila shaka huyu huyu ni prof;wa Mlimani hapo! Kajiungeni/ Mwenge!! mla vihepe vya Mawazo na joto la Dar! ujue kusomea kwenye joto kali unateseka sana.....kwanza wahuni wanakaangia ivo vihepe Mafuta ya transformer hayakaukagi yale!! halafu profe mtrajiwa; unafakamia,......unashushia na pepsi! kitumbo ndiii!

then una sinzia mida yooote! km mlevi!! unachoka km umepigwa nyundo kwenye ugoko.....bado mbu wa Dar/wabishi wanasumbua wkt wa maandalizi.....sasa utakamilishaje research na usingizi usioisha lazima utakuwa hafifu tu? .....

lkn ulaya /south ahhhaaa!!! mazingira ya ubaridi baridi yana ruhusu sana tu.. km mnabisha wekeni CV yake hapa.....muone maajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…