Tangu Babu wa Babu wanafuga mifugo Mara!! hata kabla ya Utumwa na baadaye Mkoloni!! Kinyesi cha ng'ombe ni chakula kizuri cha samaki kizuri tena sana tu! iweje wasikile but kituame chini ya maji??! sato, Sangara, mbofu, njegere, Ningu nk WAlikula miaka nenda rudi!!
sasa leo chakula kiwe sumuuu??? hata km mtu hujasoma!! siyo kwa ujinga huu!! kwa nini basi ngombe wenu km wanatoa sumu kwa nini wasife wao kwanza?? make nao si ni viumbe wana damu na ni chakula cha binadamu?? inawezekana wamekula nyasi zilizo athiriwa na
Sumu zinazo tokana na shughuli za uchimbaji migodini!! ambayo uchimbaji huo wa migodi ya Bongo Nyerere aliukataa katakata!!.......au laa basi km ni ivo mjue ng'ombe anakula nyasi tu amabazo zipo hata kabla ya ziwa kwa mantiki hiyo .... na nyasi nazo tayari zina ugonjwa manake zichomwe moto!! na km nyasi zinaugonjwa Mazo pia yanaugonjwaa,, km mazao ya ugonjwa hamjafa njaa?? lkn hata ukichoma haiondoi chemikali za sumu zilizoko ardhini!! sasa leo jiwe na mipango yake ile mibovu aliwakubalia haya ndo matokeo yake haya ......ndo laana za nyerere sasa zina watafuna!
Halafu mna kuja na hoja hafifu saaana tena ya kizembe eti kiwanda kiko mbali!!... mbali ya wapi??, maji yooote yanatiririka kuelekea ziwani yooote!! hata yale ya kutoka Mto Kaweranga kureee Tarime juu/kibumaye/Kiribho yana mwelekeo wa ziwani via mto Mara tu!
wana Mara-Ukerewe msikubali ujinga huu na kuacha Legacy tamu!! ya Nyerere!! km vipi shughuli za Migodi zisimamae kwa muda kwanza!...kupisha uchunguzi!
Nashauri haya ili iwe ni kwa Lazima siyo ombi !! kamati ya wazee wa kimira wa Mara!!! msikubali kuburuzwa hivyo!! lazima wazee wetu mshirikishwe na siyo ombi! haiwezekani Proffesor Nyamabhi! atoke huko aliko toka kavembewa na posho ya vihepe!!
aje hapo atoe Maamuzi anayo dhani ni sahihi bila kuwashirikisha watu ambao wamezaliwa hapo miaka nenda rudi vizazi na vizazi mmekaa hapo miaka nenda rudi, hiyo ni dharau mbaya kwa maisha yenu na watoto wenu, na ndo matokeo yake haya!!....
anatakiwa Proffesor Mzalendo ndo aongoze kamati ya uchunguzi wa Mkoani kwao sababu anapajua na hawezi kulishwa hongo!! tena wapo weeengi tu kina Prof chacha wangwe, Marwa Nzige, Dr Chrispin Bwire Manyonyi, winani, Ghesase, Wankyo nk, wale!!
hiyo team ya uchunguzi pia ihusishe Wazee wa Kimila wa Mkoa wa Mara, tit for tat!! na kwa uwazi ni vizee/wazee wenu tangu zamani, tunawaamini!! hakuna jinsi!!...wanajua Mazingira yao wanamoishi!!....haijalishi amesoma au haja soma watafsiri wapo!!
Kwanza wale wanaweza kuita mvua tu ikasafisha Mkoa mzima tunawaamini!! jinsi navo wajua wenyeji wa Mara nawauliza hivi ...Huyo Professor Naomba kujua wana Mara,... bado huyo anapumua kweli??? tena oxygen ya Mkoa wa Mara??......
Mlifanywa nini siku hizi Mkoani hapo ???......hapana labda siyo Mara nayoijua!!..huyo hadi sasa angekuwa amesha potea!! bila kujali mazingira....mie nadhani Majabali ya Mkoa!! serikali iliyahamisha kwa siri kwenda kipunguni, Mtwara na Lindi si kwa utoporo huu!
Wastaafu wa jesi mko wapi Bhaana..mnakupari uchinga uchinga kye Bhasaghane!! turiwapereka jesini iri muwese ghutetea mukoa ya mara sasa namna ghani Muraa! ghwanza alibhita bhitache akafika siwani!