Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

"Mheshimiwa Spika, naona upinzani wamefikia pabaya, wanaikashifu serikali sikivu ya CCM. Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumepata, shule za msingi, sekondari na vyuo viko vingi leo, barabara za lami, umeme nchi nzima mpaka vijijini, lakini CHADEMA wanakebehi. Naipongeza sana serikali ya chama cha Mapinduzi.

Mheshimiwa Spika, nikiendelea mbele naomba nielezee kwa kifupi matatizo ya jimbo langu. Kule hatuna shule ya sekondari katika kata sita, maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora wala walimu wa kutosha. Rais alikuja sasa ni miaka sita akatuahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki. Nauliza ni lini serikali híi (ya CCM) ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO?" (Makofi) Kwa! Kwa! Kwa!
 
Tangu nizaliwe sijawahi kusoma ripoti ya kipumbavu kama hii hapa inchini. Ndio maana maprofesa wa nchi hii wanadharaulika sana. Profesa mzima utakujaje na ripoti ya kizezeta kam hii? Inauma sana kupoteza pesa za wananchi kufanya utafiti wa mchongo na ovyo kama huu. Mfyuuuuuuuuuu!!!
 
Mkuu nakushangaa sana. Kemikali ya zebaki inayotumika kwenye migodi ya Mara unajua madhara yake au unabwabwaja tu ili nawe uonekane upo? Ukijitoa akili jibakizie walau kidogo ya kukusaidia kufikiri kama binadamu wa kawaida.
 
Hivi wale nyumbu, nyati, punda milia, swala nk wa great migration huwa hawajisaidii? Ni ng'ombe, punda, mbuzi na kondoo tu?
Hawa ni wasafi huwa hawachafui maji. Ng'ombe tu ndiye anajisadia mtoni kwa sababu hajui kutunza ubora wa maji......kila akitaka kunya, utamuona huyoooooo anakimbilia mtoni 🤣 😅 😂 😀
 
Ina maana mifugo hiyo ilibadilisha mto Mara kuwa choo kwamba wakijisikia kujisaidia wanaenda mto Mara kujisaidia kinyesi na mkojo hysee wasomi na viongozi wa nchii hii ni hatari

Hii CCM watanzania tusimame kwa pamoja ipo kwa maslahi ya matumbo yao huku wananchi wakiteseka kwa magonjwa Kama kansa huku wao na watoto wao wana bima za kutibiwa nchi wa Ulaya na asia
 
Kirahisi tu Jaffo amemuamini porofeza.
Kikwete alisemaga
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Hivi ng'ombe wa huko akitaka kukojoa anawahi mtoni fasta, hata Kama mtu huna akili, unaweza kuamini kwamba ngombe mmoja anatoa kilo 25 za kinyesi, ng'ombe Hawa Hawa wa wakurya wenye kilo Mia na ushee. Ng'ombe gani anakojoa Lita 21 kwa siku?
Hata Kama Jaffo hajawahi kufuga hivi barabarani haonagi ng'ombe ?
 
Waliosema ni mkojo na kinyesi cha ng'ombe ingekuwa kwa amri yangu,walitakiwa kupigwa risasi bila hata kujitetea.

Haiwezekani wasomi wakubaliane ujinga kama huu,na kuja kutufanya watanzania wapumbavu kiasi hiki.

Kama mnaogopa dunia itapiga kelele,walitakiwa kutekwa mmoja baada ya mwingine na kupotezwa.

Hawa samaki kama wamekula sumu, sasa hivi wanauzwa kwa wingi sana hasa hata mikoa kama Shinyanga.Kwa hiyo watu wapate kansa kisa wapumbavu wachache kwa jina la wasomi
Bonde moja. Timu mbili za wachunguzi. Ripoti mbili tofauti.
Kuna mengi ya kujifunza!
 
Rushwa Kaka
Lakini siwashangai ma profesa wa Tanzania.
Mnamkumbuka yule wa jalalani kumuita kiumbe dhaif mungu.
Mnamkumbuka Prof osoro kipindi Cha makinikia?
 
Waliosema ni mkojo na kinyesi cha ng'ombe ingekuwa kwa amri yangu,walitakiwa kupigwa risasi bila hata kujitetea.

Haiwezekani wasomi wakubaliane ujinga kama huu,na kuja kutufanya watanzania wapumbavu kiasi hiki...
Well said!
 
Kuna wakati inafikia hakuna haja kujivunia usomi!
Total disgrace for Tanzanians!
 
Kwa aina ya ng'ombe tulio nao wanaweza kutoa kati ya lita 7 hadi 13 za mkojo na kilo 10 had 15 za kinyesi na si hizo zilizotajwa ambazo hupatikana kwa ng'ombe wa kisasa au wanaolishwa chakula cha ziada kwa siku.
Ni up.umbavu wa hali juu kufikiria kuwa eti kuna sumu za mgodini zingesababisha samaki kufa mto Mara. Ni fikra za kijinga kabisa kutoka kwa wajinga wasiojua chochote kuhusiana na shughuli za mineral processing...
Bams fanya home work yako vizuri, mwanzo wa taarifa ya awali ilibaini kwa uchunguzi wa kimaabara vifo vya samaki vimesababishwa na kukoswa oxygen ambayo ilitokana na kuwa na kiwango kikubwa cha mafuta kwenye maji.

Report inakuja na issue ya kinyesi na mkojo? Unajiuliza hiyo ni chemical reaction gani hapo iliyozalisha mafuta?
North Mara ni wazalishaji wakubwa wa oil chafu kwa nature ya kazi yao... wana heavy equipments zinazo zalisha oil chafu kwa wingi... mfano Dump Truck ya CAT 785C ina engine oil 90lts ina hydraulic, gear box oil, break fluid, grease and etc ambavyo hubadilishwa time to time kutokana na maintenance plan au uharibifu...

Kwa uzoefu wangu mafuta yote humwagwa spillage dump ikiwa ni pamoja na udongo wowote utakaokuwa oil contaminated hofu yangu kuna leakage ya oil kwenye spillage dump ambayo bado effect zake sio karibu tu zinaweza kufika mbali... huko wachunguze... mambo ya TSF ambapo ndio kuna ammonium na metals Kutoka kwenye ball mill achana nazo
 
Ngombe hawa hawa wa mara mmoja anakunya kinyesi cha kg 25 na mkojo lita 21..???

Hivi wanaficha nini kwa manufaa ya nani?..hivi hiyo mifugo imeanza kufungwa mwaka huu maeneo hayo..mbona hayakuwahi kutokea hayo....
Shukurani Ikufikie.
Mazingaombwe ya rushwa hayo sasa, yaani rushwa inanuka kuliko tani 25 za mavi ya ng'ombe!

Kwa kweli hao maprofesa na Chama cha siasa cha CCM ndio wamefeli kabisa, ni ulaghai na kuhadaa wananchi. Miaka nenda rudi hayakutokea na isitoshe hao ngo'mbe wamepungua wingi katika maeneo hayo. Fuateni pesa au kwa kimombo "Follow the money" mtakuta madudu yao huko.
 
Ni up.umbavu wa hali juu kufikiria kuwa eti kuna sumu za mgodini zingesababisha samaki kufa mto Mara. Ni fikra za kijinga kabisa kutoka kwa wajinga wasiojua chochote kuhusiana na shughuli za mineral processing...
Kinachojadiliwa hapa ni ujinga ndani ya ripoti. Binafsi nasema ni ujinga kusema kinyesi kingi cha ng'ombe ndo sababu. Kwa kusema hivyo, sijasema ni mgodi. Tukubaliane kwamba profesa ameandika ujinga wake wa kitaaluma.

Kwako wewe pia nahisi unatetea kwa nguvu tu bila uhakika. Sodium cyanide inapokuwa exposed kama unavyosema, inakosaje nguvu? Nini kinaifanya ikose nguvu? Na kama ni hivyo kwa nini inazuiliwa kwenye mabwawa ya mamilioni wakati ingeweza kuachiwa tu?

Njoo kwenye acid na dilution unayosema. wingi wa maji ya mto na acidi vitalinganishwaje, hadi useme ingekuwa diluted. Kwani ikiwa diluted samaki wanafaidi? Andika kitaalamu badala ya maneno kama dilution. Eleza pH itakuwa ngapi ili nasi tukusimulie tunayoyajua. Mgodi hautengenezi acid na tupo tunaofahamu jinsi inavyojitengeza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…