Uchaguzi 2020 Kamati Kuu CCM kuteua wagombea watatu (03) ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika

Imebidi nicheke.
 
Mwaka huu wagombea urais kwa tiketi ya ccm ni nani na nani ?
 
Mwita waitara lazima apotezwe. Atapewa ukuu Wa Wilaya
 
Vigezo gani vinatumika Kuchuja?
 
Mchuma janga hula na wa kwao,Alisema mtu mmoja wakimaliza kudeal na upinzani lazima wawakite na hao [emoji23][emoji23] wale wakuunga juhud mbio za mfalme wa mataga chaliii Yan ndembendembe kifo cha mende
 
Power grip by Jiwe!
 
Wabongo bhana. Tuna discuss hewa tu
Weka source ya habari tuione ndio tudiscuss. Unaweza ukawa right au usiwe. Kutokana na interpretation yako.
Lkn pia never mind kuweka chanzo maana waandishi wenyewe wa habar siku hizi ndio kina juma lokole.
 
Kwanini wachujwe kamati kuu baadala ya kupigiwa kura za maoni.
Kamati kuu ikiongozwa na chairman wao Wana access ya intelligensia ya watu wote nchi hii, tofauti na mwanachama wa kawaida huko vijijini. Hii itasaidia kutowafanya watu wasiofaa(kama wahalifu au wasio raia) kuwa watunga Sera na sheria za nchi.
 
Hapo si ndo vizuri ili upinzani upate chance ya kupita vizuri.Wapinzani wao waende kinyume waachie wananchi husika ndio waamue wamtakae wanaopendekezwa na wananchi then kamati kuu ipitishwe makubaliano ya wananchi
 
Mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi Nani atagombea Nani asigombee,Kama we si muimba kwaya katafute kazi zingine.Kama mwenye chama ndie muamuzi wa mwisho wahamiaji haramu wote ndani asilia wao waendelee kusugua mabenchi tu.
 
Lengo kuu wahamiaji haramu wote wapite plus waimba kwaya wote ili mbele ya pesa kwao kila kitu ndioo huku wakishindana kuimba kwaya ili waje wapitishe maamuzi ya kubadili katiba boss wao atawale milele,maamuzi ya ujenzi wa ikulu dodoma si mtu wa kuondoka kesho Wala kesho is there to stay.
 
Chama kimenyang'anya mamlaka wanachama haki ya kuchaguliwa na haki ya kuchagua.

Uongozi wa kisiasa ni muhimu upitie michakato ya uchaguzi huru na za kidemokrasia.
Ndio vizuri ili wananchi wawakatae wasiowachagua,mfano mwita wanapewa Wana ukonga mmtake mtamchagua msitake mtamchagua.Kwa nguvu ya umma wagombea wa upinzani wanakwenda kushinda Ila kwa nguvu ya polisi mshindi atatangazwa wa ccm.
 
Watu mlikuwa hamuunganishi matukio ya ile likizo ya siku 45 pale chato
(1) hivi kweli Kama jiwe alikuwa na Mgonjwa Kama anavyodai faili la uteuzi la kina mollel na nchemba yalifiikaje mpaka chato
(2) ukiambiwa kuwa ile likizo ilikuwa na shughuli ya za ikulu je shughuli za lumumba zitakwepaje kufanyika chato
(3) tuliaminishwa kuwa chato Kuna ikulu Sasa na Mimi naamini CCM nayo ilihamia chato na shughuli imeshafanyika CCM imegeuzwa na kuwa:-
C C M = CHATO CHUJA MGOMBEA
Kamati kuu nayo kwenye kikao Naona mtarudi na SUMU zenu za kumlisha mangula mfukoni mtajuwa mangula mlimwonea tu na SUMU yenu
 
Ndio vizuri ili wananchi wawakatae wasiowachagua,mfano mwita wanapewa Wana ukonga mmtake mtamchagua msitake mtamchagua.Kwa nguvu ya umma wagombea wa upinzani wanakwenda kushinda Ila kwa nguvu ya polisi mshindi atatangazwa wa ccm.
Hii kama chaguzi zingekuwa huru wangepoteza wabunge wengi sana.

Maana sasa hivi wananchi watachagua chaguo la kamati kuu na siyo chaguo la wanachama.
 
Mimi ninaona kuwa kwa utaratibu huu ndiyo kutakuwa na harufu ya Rushwa. Ni vyema Kamati Kuu ikateua mgombea kuliko kupigiwa kura na wajumbe wa Jimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…