LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Lengo LA haya mabadiliko Ni kuhakikisha wale wasio upande Wa jpm wanakatwa kwanza ndipo wale waliobaki wanarudishwa ili kupigiwa kura kule chini.hata ikitokea bahati mbaya wasiompenda kapenya kwenye kura anakatwa tena na vikao vya juu.jpm na polepole wamebuni mbinu Kali sana kufyeka wasiowapenda.poleni wanaccm.Mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi Nani atagombea Nani asigombee,Kama we si muimba kwaya katafute kazi zingine.Kama mwenye chama ndie muamuzi wa mwisho wahamiaji haramu wote ndani asilia wao waendelee kusugua mabenchi tu.
ccm inawenyewe na imeshakuwa kikundi cha watu wachache kwa sasa halafu kuna mafala wanasema ohh kule chadema hakuna democrasia haya sasa huko watakula kwa namba, vip upande wa uraisi kamati kuu itawapigia kura wangapiNimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.
Inakuaje kamati kuu iteue baadala ya kuwaachia wajumbe ambao wao ndio wanawajua wagombea wao.
Hakuna harufu ya uteuzi wa wapendwa wa mwenye Chama?
Hichi ni kiini macho tu polisi ndio tegemeo lao kuwapa washindi,watendaji wengi wa serikali ni Kama wamerogwa sijui majina yao yalifukiwa baharini wote utazama maslai ya mtu mmoja na sio nchi,Lengo LA haya mabadiliko Ni kuhakikisha wale wasio upande Wa jpm wanakatwa kwanza ndipo wale waliobaki wanarudishwa ili kupigiwa kura kule chini.hata ikitokea bahati mbaya wasiompenda kapenya kwenye kura anakatwa tena na vikao vya juu.jpm na polepole wamebuni mbinu Kali sana kufyeka wasiowapenda.poleni wanaccm.
Hati hati ya haki za wengi kuporwaHii kama chaguzi zingekuwa huru wangepoteza wabunge wengi sana.
Maana sasa hivi wananchi watachagua chaguo la kamati kuu na siyo chaguo la wanachama.
Ahaa swali zuri sana,ukichujwa unatafuta mbadala .Vigezo gani vinatumika Kuchuja?
HIYO NI AJIRA SAWA NA AJIRA ZINGINE, huo ni utaratibu wa kawaida wa kushindanisha wenye sifa, ulitaka kijiji kizima kiingie kwenye kinyang'anyiro, huna mpyaNimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.
Inakuaje kamati kuu iteue baadala ya kuwaachia wajumbe ambao wao ndio wanawajua wagombea wao.
Hakuna harufu ya uteuzi wa wapendwa wa mwenye Chama?
Mkuu,Kamati kuu inawajuaje wagombea wa majimboni, kwanini wajumbe wasiachwe wachague wenyewe.
Tawileee!Mkataba lazima umpe Mbowe laki 5 kila mwezi toka kwe mshahara Kama utateuliwa viti maalumu unatoa million 1.5 kwa mwezi. Au uwe Joyce Mukya.
Sent using Jamii Forums mobile app
John, Joseph, Pombe na Magufuli.. Wagombea wanne tayari hao!Mwaka huu wagombea urais kwa tiketi ya ccm ni nani na nani ?
Ya huu ni mfumo kandamizi ,maanaKwanini kamati iteue? Kwanini ambao wamechukua fomu wasiachwe wachuane huko majimboni.
Nimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.
Inakuaje kamati kuu iteue baadala ya kuwaachia wajumbe ambao wao ndio wanawajua wagombea wao.
Hakuna harufu ya uteuzi wa wapendwa wa mwenye Chama?
Bye Bye wahamiaji. Poele sana Mwita, si ukonga wala Mara hutaona kitu, Pole sana Prof Mkumbo, Lijuakali, Mwambe, na .........Wapambe wa Jiwe watapitaje ?Ndio maana hii
Hao ndio watapitishwa na kamati kuu.Bye Bye wahamiaji. Poele sana Mwita, si ukonga wala Mara hutaona kitu, Pole sana Prof Mkumbo, Lijuakali, Mwambe, na .........
Swali bovu hili! Kila mtindo una sababu zake kwa nini unataka wajumbe?Nimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.
Inakuaje kamati kuu iteue baadala ya kuwaachia wajumbe ambao wao ndio wanawajua wagombea wao.
Hakuna harufu ya uteuzi wa wapendwa wa mwenye Chama?