GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni mmasai wa Katavi wilaya ya Tanganyika alipotea alivyokuwa anachunga ng'ombe Simanjiro akajikuta yupo Katavi 🤣🤣🤣
 
Naomba majina Jimbo la SIKONGE Tabora
 
Aisee,
Leo nilikua na majukumu magumu nimekua mbele ya computer 💻 macho yanauma ngoja kichwa kipoe Poe nione majina.

NImefurahi kuona jina la gentleman Tlaatlaah
Hongeraa sana Kila la kheri gentleman
 
Ni jina tu kama majina mengine.
Kwani huyo no. 2, Elizabeth ni mzungu wa wapi!?
 
Hii Covid Easter Matiko hapo Tarime mjini amedandia mtumbwi wa vibwengo, hatoboi.

Hapo kuna full Matycoon wa Tarime.
 
Huyu Mama Magreth Sitta hana aibu kama Salma Kikwete?

Huu ni ulafi uliopindukia, wajumbe wakataeni hawa wamama wasiojiheshimu na waliotawaliwa na ulafi wa kupitiliza.
 
Ila c anapigiwa kura na wananchi au?
Ujanja mwingi kumbe hujui hata viti maalum wanapatikanaje?

Ni kura za jumla kila chama itakazopata ndio Nec inakokotowa kuwapa viti, upo uwezekano wengine wanateuliwa na vyama lakini wataishia kula kwa macho mjengoni hawaendi.
 
Nna ujanja kwenye ishu gani?

Sio kila mtu anafatilia siasa humu, mm siasa nazisomea hapa JF ila kwenye maisha yangu ya kawaida hayo sio mambo yangu.
 
Hii Covid Easter Matiko hapo Tarime mjini amedandia mtumbwi wa vibwengo, hatoboi.

Hapo kuna full Matycoon wa Tarime.
Aaahh hatoboi kuna huyo bingwa mtetezi, kuna huyo wa kwa heche, kangoye, na chambiri kiasi flan wana upepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…