viti maalum huyu atapeta, tutaendelea kuwa naye humu kwa wizara atakayopangiwaNina mahaba ya dhati na mama Dkt. Gwajima D kwa jinsi anavyojitoa kiubinadamu kwenye jamii na sio kisiasa nakuombea kila la heri mama
Hahaaaaa, hebu subiri kidogo........Aisee yaani pamoja na kashfa ya ulawiti ila atapita na uwaziri watampa
Wizara yake anaitendea haki anafanya kazi kwa wito, anaguswa huyu mamaviti maalum huyu atapeta, tutaendelea kuwa naye humu kwa wizara atakayopangiwa
Mwijuma inShafii dauda ndani, huyu mshua akipeta ubunge wizara ya michezo ni saizi yake, aanze na unaibu
Mbona unachekacheka sana dogo tatizo Nini?Chadema wa JF wapo makini kufuatilia kinachoendelea ili kuja na mada zao za kujifariji 😂
Ili nanyi chadema mpate cha kujadili kwenye vikao vyenu vya kahawaWalau hizi habari zimekifanya chama mfu kitajwetajwe mitandaoni
Ww unahisi tatizo n nnMbona unachekacheka sana dogo tatizo Nini?
Kile kilio hakikuwa cha hivi karibuni wajameniUyo jamaa anapenda sana kulia Lia na kutia huruma..
Mbona jina lake limepita
JIMBO LA TARIME VIJIJINIVipi tarime mjini na vijijini?