GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Jimbo la Ngorongoro
(1) Ndugu Prof. Kokel Letia MELUMBO
(2) Ndugu Elizabeth Sinodya GIBASEYA
(3) Ndugu Yannick Ikayo NDOIYO
(4) Ndugu Marx Simon KAMAONI
(5) Ndugu Rose Ormorijoy NJILO
(6) Ndugu Sylvanus Mizengo Ole PINDA

Bolded, ni mmasai wa wapi huyo ?
 
Mwijuma in
Kabudi in hapo wote udenda unawatoka kwenye nafasi za michezo
hiyo wizara ni kubwa igawanywe, wizara ya michezo mwinjuma na kikeke waiongoze, kabudi ateuliwe wizara nyingine nyeti
 
  • Thanks
Reactions: x x
Majimbo ya Kahama mjini na Urambo vipi uko?
Jimbo la Kahama Mjini
1) Ndugu Sweetbert Charles NKUBA
2) Ndugu Francis Fikili MIHAYO
3) Ndugu Jumanne Kibela KISHIMBA
4) Ndugu James Daudi LEMBELI
5) Ndugu David Anyandwile KILALA
6) Ndugu Juliana Kajala PALLANGYO
7) Ndugu Benjamini Lukubha NGAYIWA

Jimbo la Urambo
(1) Ndugu Margaret Simwanza SITTA
(2) Ndugu Daud Jackobo NGASA
(3) Ndugu Haruna Said MASEBU
(4) Ndugu Omary Hassan KISSESA
(5) Ndugu Zakaria Mabubu MGANILWA
(6) Ndugu Athumani Yassini SIZYA
 
Jimbo la Kahama Mjini
1) Ndugu Sweetbert Charles NKUBA
2) Ndugu Francis Fikili MIHAYO
3) Ndugu Jumanne Kibela KISHIMBA
4) Ndugu James Daudi LEMBELI
5) Ndugu David Anyandwile KILALA
6) Ndugu Juliana Kajala PALLANGYO
7) Ndugu Benjamini Lukubha NGAYIWA

Jimbo la Urambo
(1) Ndugu Margaret Simwanza SITTA
(2) Ndugu Daud Jackobo NGASA
(3) Ndugu Haruna Said MASEBU
(4) Ndugu Omary Hassan KISSESA
(5) Ndugu Zakaria Mabubu MGANILWA
(6) Ndugu Athumani Yassini SIZYA
Ahsante sana kaka.
 
Aah hizo akili za huyo jamaa dp (pac) na dear mama yake,nikifikiria ninavyopambana kwenye vibarua mashambani,site nk.. nywele za korodani nyeupe kwa jasho mgando,salute nyingi sana kwa mshua kuhakikisha milo mitatu haikosekani
Sijawahi mtweza mzee, ila sina proof yake sasa, mzee kaondoka mie bwana mdogo sana, halafu bimkubwa kapambana, kaziba sana pengo la mshua..
Nimekuwa nimekuwa baba naona jitihada zangu, huenda mzee angekuwa kama mim, ningekuwa proud nae, ila sasa mie nakuwa ni bimkubwa anapambana katika namna haielezeki.

Kwangu mama yangu ni kiumbe bora zaidi kwangu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Jimbo la Ngorongoro
(1) Ndugu Prof. Kokel Letia MELUMBO
(2) Ndugu Elizabeth Sinodya GIBASEYA
(3) Ndugu Yannick Ikayo NDOIYO
(4) Ndugu Marx Simon KAMAONI
(5) Ndugu Rose Ormorijoy NJILO
(6) Ndugu Sylvanus Mizengo Ole PINDA

Bolded, ni mmasai wa wapi huyo ?
mmasai wa kuhamia
 
Asilimia kubwa kama sio wote hawana uwezo wa uongozi…uchawi na uchawa kila mahala….
 
Tuendelee kuchambua vigogo waliotemwa, je watarudi mzigoni kwa namna nyingine?
 
Wakuu!

Baada ya ahirisha ahirisha sasa ndio muda wenyewe wa kujua mbivu na mbichi huko CCM

Majina ya wagombea wa Ubunge wa Majimbo, Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi, Viti Maalum vya Ubunge na Baraza la Wawakilishi kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) yanatarajiwa kutangazwa mchana huu baada ya kikao cha Kamati Kuu ya Chama hicho kulichomalizika usiku wa kuamkia Julai 29, 2025.

Majina hayo yatatangazwa kwenye mkutano wa waandishi wa habari utakaofanyika kuanzia saa sita mchana.


Awali, Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makala, aliitisha kikao na waandishi wa habari kilichotarajiwa kufanyika saa 11:00 jioni ya Julai 28, 2025. Hata hivyo, kikao hicho hakikufanyika kutokana na mchakato wa kuchuja wagombea kutokamilika kwa wakati.

Waandishi wa habari walilazimika kusubiri kwa muda mrefu, kuanzia saa 11:00 jioni hadi majira ya saa 10:00 alfajiri ya leo, walipofahamishwa na Afisa Habari wa CCM, Aboubakar Liongo, kwamba mchakato bado unaendelea na kwamba kikao hicho sasa kitaanza rasmi saa 6:00 Mchana leo, Julai 29, 2025.

Soma zaidi
Taarifa hiyo inasubiriwa kwa hamu kubwa, kwani itabainisha majina ya wagombea waliopenya katika hatua za awali za uteuzi kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama hicho tawala.

Updates

CCM wameongeza tena muda, CPA Makalla atafika ukumbini dakika 35 zijazo (1:25 Mchana)

View attachment 3423136



CPA Amos Makalla amefika na kuanza kuomba radhi kusubiri muda mrefu kwanza kile kilichotokea jana kuarishwa kwa mkutano huu wakuwatangaza wagombea, walikua wengi. Amewapongeza wanachama wote waliojitokeza kuwania nafasi hizo.

" Niwaombe radhi kwa kusubiri kwa muda mrefu tumekuwa na vikao wa manane lakini kikubwa tulikua na wagombea wengi, kwaiyo kazi baada ya kikao imeenda vizuri. Tunawapongeza wana CCM kote nchini kwa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi mbalaimbali kugombea nafasi zilizokua zimetangazwa katika majimbo, Ubunge na viti Maalum.

WABUNGE WALIOTEULIWA KUGOMBEA UBUNGE KUPITIA CCM

ARUSHA
Jimbo la Arusha Mjini
  1. Ndg Ali Said Babu
  2. Hussein Gonga
  3. Aminata Taule
  4. Mustapha Said Nassoro
  5. Paul Christian Makonda
  6. Lwembo Nkwavi Mgweno
  7. Jasper Agustino Kishimbua
Jimbo la Arumeru Magharibi
  1. Dkt. Johannes Lukumay
  2. Ndg. Noah Lembrice Molel
  3. Noel Emmauel
  4. Ester Zakayo Molel
  5. Herrietta Erasto Temu
  6. Luteni Kanali Meidin
Jimbo la Karatu
  1. Sesilia Daniel Pareso
  2. Daniel Telemay
  3. Pantaleo Victory Pareso
  4. Patrice Chele Matei
  5. Shadrack Kana
Jimbo la Longido
  1. Steven Lemomo Kiluswa
  2. Petro Ngarikoni
  3. Nicholaus Senteu
  4. Martha Ntoipo
Jimbo la Arumeru Mashariki
  1. Joshua Samweli Nasari
  2. John Daniel Palanjo
  3. Johnson Salakikya
  4. Elisa Mbise
  5. Prof. Daniel Palanjo
  6. Rose Urio
  7. William Salakikya
  8. Anjela Leonard Palanjo
Jimbo la Monduli

  1. Fedrick Edward Lowasa
  2. Wilson Lengima Kulambe
  3. Isack Joseph Kapriano
  4. Sakaya Kabuti Alasheri
  5. Nuru Adam
  6. Bilihuda Hussein Kisaka

Jimbo la Ngorongoro
  1. Prof. Kokey Melumbo
  2. Elizabeth Gibasea
  3. Yanick Ndoiyo
  4. Max Simeon Kamoni
  5. Rose Njilo
  6. Silvanus Mizengo Ole Pinda

DAR ES SALAAM

Jimbo la Ilala

  1. Musa Hassan Zungu
  2. Grace Buberwa
  3. Medard Mpangala
  4. Stella Helman Njau
  5. Isack Salim Kitogo
  6. Rose Bisendo
Jimbo la Ukonga
  1. Jerry William Silaa
  2. Viot Emmanuel Mbele
  3. Rajab Said Nyangasa
  4. Rangi Samwel Nyoma
  5. Alawi Abdallah Rwegoshora
Jimbo la Segerea
  1. Bona Kamori
  2. Aidan Amos Kwezi
  3. Rajab Amir Ramadhan
  4. Dkt. Kassim Nihuka
  5. Gideon Mandes
  6. Nyimadi Mfaume Hange
  7. Abdallah Mashausi
Jimbo la Kivule
  1. Florian Kalugaba
  2. Douglas Didas Masaburi
  3. Nickson Machori Tugala
  4. Mwanaidi Makongo
  5. Anjela Akilimali
  6. Edmund Mwasaga
  7. Anitha Waitara
Jimbo la Kigamboni
  1. Mponela Suleiman Matei
  2. Mchange Habib Mchange
  3. Harran Nyakisa Sanga
  4. Cynthia Patrick Henjewele
  5. Ally Kassim Mandai
  6. Francis Elias Mwakitandu
Jimbo la Chamazi
  1. Abdallah Japhary Chaurembo
  2. Mariamu John Kambi
  3. Hamidu Hassan Bobali
  4. Melkizedeki Mathayo Hango
  5. Munir Zacharia Adam
  6. Mohamed Rajab Ruvuba
  7. Zuhura Khalfan Mazrui
Jimbo la Mbagala
  1. Abdallah Said Mtinika
  2. Kakulu Richard Kakulu
  3. Seif Hassan Sule
  4. David Mfumbuka Galuli
  5. Elisha Fredy Osati
  6. Issa Ally Mangungu
  7. Judith William Mollel
Jimbo la Temeke
  1. Shafii Kajuna Dauda
  2. Mariam Nassoro Kisangi
  3. Dorothy George Kilave
  4. Benard Methew Mwakyembe
  5. Fadhili Pamonga
  6. Jesdip Babra
  7. Leah Joseph Mwampishi
  8. Mussa Mohamed Mtulia
Jimbo la Kibamba
  1. Anjela Mberwa Jasmin Kairuki
  2. CPA Jumanne Mtemvu
  3. Joseph Chikongoe
  4. Dkt. Alphonce Boniphace Temba
  5. Mwamini Lusingu Mbwambo
  6. Consolata Rweikiza
  7. Nestory Yamungu
  8. Anjelo Nyoni
Jimbo la Kawe
  1. Geophrey Timothy
  2. Advocate Tungalaza Manyama
  3. Maria Alphonce Sebastian
  4. Erick Marusuli
  5. Elias John Komba
  6. Godwin John Kamala
  7. Hemed Shabaan Nkuya
  8. Philip Sospeter Matondo
Jimbo la Kinondoni
  1. Wilfred Nyamwija
  2. Abbas Tarimba Gulam
  3. Idd Mohamed Azan
  4. Michael Richard Wambura
  5. Jerusa David Kitoto
  6. Advocate Julliette Rushuli
  7. Wang'oto Mussa Salim
  8. Zena Kiputiputi
Jimbo la Ubungo
  1. Prof. Kitila Mkumbo
  2. Elizabeth Noah Jackson
  3. Dkt. John Kahemele
  4. Seif Ibrahim Chekanae
  5. Endrew Suleiman Kurwa

DODOMA

Jimbo la Bahi


1. Kenneth Ernest Nollo
2. Robert Kamunya
3. Sufiani Masasi
5. Mathias Paul Lyamunda
6. Flora Silangwa

Jimbo la Kongwa


1. Job Yustino Ndugai
2. Balozi Emmanuel Mbennah
3. Ngaya David Mazanda
4. Deus Seif
5. Philip Chiwanga
6. Pascal Mahinyila
7. Dkt. Simon Ngatunga
8. Samora Stanley
9. Isaya Moses

Jimbo la Chamwino

1. Deogratius John Ndejembi
2. Pololeti Mgema
3. Rehema Elias Kayombo
4. Vincent Antony Chomola
5. Idd Shaban Mwaluko
6. Joel Mwakamakanyaga

Jimbo la Mvumi

1. Livingstone Lusinde
2. Dkt. Michael Msendekwa
3. Happiness Lugongo
4. Steven Ulaya
5. Nyemo Gidion Masimba
6. Mike Joel
7. Francis Julius

Kondoa Mjini

1. Ally Makoha
2. Mariamu Ditopile Mzuzuri
3. Ally Nurdin Juma
4. Dkt Athuman Mchana

Kondoa Vijijini

1. Ashatu Kijaji
2. Said Omary Mnyeke
3. Hassan Juma Lubuva
4 Juma Twaha Shaaban
5. Hans Halifa

Jimbo la Mpwapwa

1. George Malima
2. Njamasi Simon Chiwanga
3. Zakayo Mkemwa
4. Adam Michael Malima
5. John Fusi
6. Magret Lema
7. Eva Mpagama

Jimbo la Kibakwe

1. George Simbachawene
2. George Andrew KAHELA
3. Dkt. Kwame Daimon MWAGA
4. Nelson Boniface MNYANYI
5. Amani James BENDERA

JIMBO LA DODOMA MJINI

1. Eng. Rashid MASHAKA
2. Pascal Inyasi CHINYELE
3. Samweli MALECELA
4. Samwel Marwa KISARO
5. Fatuma Yusufu WAZIRI
6. Robert Daniel MWINJE
7. Rosemary Chambe JAIRO
8. Abdulhabib Jaffar MWANYEMBA

JIMBO LA MTUMBA

1. Anthony Peter MAVUNDE
2. Mussa Andrew LUHAMO
3. Anthony Zacharia KANYAMA
4. Mwajuma Salum KARABAKI

GEITA

JIMBO LA BUKOMBE

  1. Ndugu Dotto Mashaka BITEKO (PHD)
JIMBO LA BUSANDA
1. Ndugu Lolesia Masele BUKWIMBA
2. Ndugu Dr. Busanda Lucas BUSANDA
3. Ndugu Dr. Jafar Rajab SEIF
4. Ndugu Dr. Sadock Peter MATHIAS

JIMBO LA CHATO KASKAZINI
1. Ndugu Cornel Lucas MAGEMBE
2. Ndugu Medrad M. C. KALEMANI
3. Ndugu Fransis Dotto FEDRICK
4. Ndugu Simon Michael BULENGANJA
5. Ndugu Cosmas Ismail MAKONGO

JIMBO LA CHATO KUSINI
1. Ndugu Paschal Lucas LUTANDULA
2. Ndugu Deusdedit Josephat KATWALE
3. Ndugu Philbert Marco BULURA
4. Ndugu Sylvester Mapinda SAIMON

JIMBO LA GEITA MJINI
1. Ndugu Chacha Mwita WAMBURA
2. Ndugu Costantine John KANYASU
3. Ndugu Upendo Furaha PENEZA
4. Ndugu Gabriel luhumbi ROBERT
5. Ndugu John Udoya SAULO
JIMBO LA GEITA
1. Ndugu Emmanuel Luponya SHEREMBI
2. Ndugu Musukuma Joseph KASHEKU
3. Ndugu Patrick Stephen MALOGOI
4. Ndugu Sophia John MASHALA

JIMBO LA KATORO
1. Tumaini Bryceson MAGESSA
2. Ndugu Kija Limbu NTEMI
3. Ndugu Esther James NG’HOME
4. Ndugu Mathias Halawa LUPUGA
5. Ndugu Saimon Masalu MALANDO

JIMBO LA MBOGWE
1. Ndugu Augustino Mnyanda MASELE
2. Ndugu Fagason Amos MASASI
3. Ndugu Patrick George MSAFI
4. Ndugu Isaya Salum KINGI

JIMBO LA NYANG’WALE
1. Ndugu Eng. Evarist Welle NDIKILO
2. Ndugu Hussein Nasorro AMAR
3. Ndugu Thomas Cosmas JIBUSHI
4. Ndugu Joyce Robert KAKUMBI

MKOA WA IRINGA

JIMBO LA IRINGA MJINI
1) Ndugu Moses Gwatengile AMBINDWILE
2) Ndugu Jesca Jonathan MSAMBATAVANGU
3) Ndugu Peter Simon MSIGWA
4) Ndugu Fadhili Fabian NGAJILO
5) Nguvu Edward CHENGULA
6) Ndugu Islam Nihed HUWEL


JIMBO LA ISIMANI
1) Ndugu William Vangimembe LUKUVI
2) Ndugu Festo Shemu KISWAGA
3) Ndugu ENG. Sebastian Antony KIYOYO
4) Ndugu David Evance KOMBA
5) Ndugu Abdallah Suleiman LUSASI
6) Ndugu Elias Lupito MIGODELA

JIMBO LA KALENGA
1) Ndugu Jackson Gedion KISWAGA
2) Ndugu Musa Leonard MDEDE
3) Ndugu Grace Victor TENDEGA
4) Ndugu CPA. Henry Thomas NYAULINGO

JIMBO LA KILOLO
1) Ndugu Ritha Enespher KABATI
2) Novat Attilio MFALAMAGOHA
3) Ndugu Nathan Edward MNYAWAMI
4) Ndugu Shamdi Sadro NZOGELA
5) Ndugu Festo John KIPATE
6) Ndugu Mwalubadu Riziki NGAGA

JIMBO LA MAFINGA MJINI
1) Ndugu Cosato David CHUMI
2) Ndugu Dickson Nathan LUTEVELE
3) Ndugu Agrey Naftary TONGA
4) Ndugu Mendrad Lutengano KIGOLA
5) Ndugu Dr. Bazil Lwisijo TWEVE

JIMBO LA MUFINDI KUSINI
1) Ndugu David Mwakiposa KIHENZILE
2) Ndugu Golden Ally MGONZO
3) Ndugu Josephat Gasper MWAGALA
4) Ndugu Chavala Yohanes Dominicus MATONYA
5) Ndugu Emmanuel Israel NG’AHALA

JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI
1) Ndugu Exaud Silawoneka KIGAHE
2) Ndugu Lucman Abdulwahad MEHRAB
3) Ndugu Alban Joseph LUTAMBI
4) Ndugu Prof. Obadia Venance NYONGOLE
5) Ndugu Godfrey William NGUPULA

Mkoa wa Kagera

Jimbo la Biharamulo Magharibi

1. Eng. Ezra John CHIWELESA
2. Benedict Simon KIPEJA
3. Oscar Rwegasira MUKASA
4 Anatory Kasazi CHOYA
5. Dkt. Magnus Rutakulemberwa BANYIKILA
6. Sada Abubakari KARABAKI

(ii) Jimbo la Bukoba Mjini

1. Almasoud Daud KALUMNA
2. Alex Denis MUGANYIZI
3. Jamila Hassan EMILY
4. Johnston Johansen MUTABINGWA
5. Koku Fatuma RUTTA

(iii) Jimbo la Bukoba Vijini

1. Jasson Samson RWEIKIZA
2. Asted William MPITA
3. Falis Athumani BURUHANI
4. Edmund Emmanuel RUTARAKA
5. Fahami Matsawily JUMA
6. Philibert Francis BAGENDA

(iv) Jimbo la Karagwe

1. Innocent Lugha BASHUNGWA
2. Princepius Sabinian RWAZO
3. Adolf Andrew LWANTUNGAMO
4. Devotha Obadia ALEXANDA
5. Confort Mugisha BLANDES
6. Akida Augustinio MNYAMBO

(v) Jimbo la Kyerwa

1. Khalid Mussa NSEKELA
2. Speratha Fabian MARCO
3. Innocent Sebba BILAKWATE
4. Maxon Binomtonzi BARITHAZARY
5. Stephen Edward KATEMBA
6. Benedicto Mutachoka MUTUNGIREHI

(vi) Jimbo la Misenyi

1. Projestus Kweyamba TEGAMAISHO
2. Florent Laurent KYOMBO
3. Assumpter Nchunjua MSHAMA
4. Jackline Siima RUSHAIGO
5. Amina Ayubu ATHUMAN
6. Nasiru Issa BYABATO
7. Placidius Mwenezi NDIBALEMA

(vii) Jimbo la Muleba Kaskazini

1. Adonis Alfred BITEGEKO
2. Charles John MWIJAGE
3. Adv. Fortinatus Sospiter MUHALIRA
4. Adv. Dustan Nicolaus MUTAGAHYWA
5. Edward Willibard MUJUNGI

(viii) Jimbo la Muleba Kusini

1. Simon Patrick WENFUREBE
2. Denis Mutajwaa CHARLES
3. Dkt. Oscar Ishengoma KIKOYO
4. Abdulmajib Yusuph AHMADA
5. Dkt. Modest Bateranisa BURCHARD
6. Didas Mtabalike CLEMENCE

(ix) Jimbo la Ngara

1. Stephen Nzohabonayo KAGAIGAI
2. Dotto Jasson BAHEMU
3. Herbert Jared MHILE
4. Hilali Alexender RUHUNDWA
5. Restutha Chishahayo BINAMBI
6. Lameck Kumbuka JASTON

MKOA WA KATAVI

JIMBO LA KAVUU

1) Ndugu Geophrey Privatus Mizengo PINDA
2) Ndugu Laurent Deogratius LUSWETULA
3) Ndugu Dama Samora LUSANGIJA
4) Ndugu Prudenciana Wilfred KIKWEMBE

JIMBO LA NSIMBO
1) Anna Richard LUPEMBE
2) Hussein Juma MTORO
3) John Joseph MSONGAZILA
4) Chrispin Benzeh SUKWA
5) Peter Revocatus MADAHA

JIMBO LA KATAVI
1) Isaac Aloyce KAMWELWE
2) Kelvin William MBOGO
3) Thomas Kampala MAGANGA
4) Beatrice Albano SWALEHE
5) Immaculata Leph GEMBE

JIMBO LA MPANDA
1) Haidar Hemed SUMRY
2) Nyachia Justine KUNJU
3) Sebastian Simon KAPUFI
4) Beda Alfred KATANI
5) Ismail Nassoro ISMAIL
6) John Paulo KAPOKOLO

JIMBO LA TANGANYIKA
1) Moshi Suleiman KAKOSO
2) Yusuf Hussein KAJENJE
3) Andrew Benidicto LUSESA
4) Christina Gamunga SUDI



MKOA WA KIGOMA
Jimbo la Kakonko

(1) Ndugu Aloyce John KAMAMBA
(2) Ndugu CPA. Emmamuel Jeremiah GWEGWENYENZA
(3) Ndugu Dkt. Kagoma Pius KAMANA
(4) Ndugu Alan Thomas MVANO
(5) Ndugu Rosemary Delfina RUHINDA
(6) Ndugu Modest Joseph APOLINARY
(7) Ndugu Msakila Mussa KABEMBE

Jimbo la Muhambwe
(1) Ndugu Florence George SAMIZI
(2) Ndugu Jamal Abdallah TAMIM
(3) Ndugu Dickson Kisondaka BIDEBELI
(4) Ndugu Andason Njiginya KABUKO
(5) Ndugu Jeraidina Paskal KABULULU
(6) Ndugu Julias Paul THOMAS
(7) Ndugu Nduhilibusa Francis MAPIGANO

Jimbo la Kasulu Mjini
(1) Ndugu Prof. Joyce Lazaro NDALICHAKO
(2) Ndugu David Issaya DYOYA
(3) Ndugu Fadhili Salumu NGEZI
(4) Ndugu Magterh Bernard KILENZA
(5) Ndugu Mteule Amon MKOMBO
(6) Ndugu Patrick ZULIGIMBASHA

Jimbo la Kasulu Vijijini
(1) Ndugu Augustine Vuma HOLE
(2) Ndugu Agripina Zaitum BUYOGERA
(3) Ndugu Edibiliy Kazala KIMNYOMA
(4) Ndugu Emmanuel Thomas MSASA
(5) Ndugu Selemeni Marumbo WANDWI
(6) Ndugu Shukurani Patrick MPAGANYE

Jimbo la Buhigwe
(1) Ndugu Ntakimanzi L. YUSUPH
(2) Ndugu Elias M. KAYANDABILA
(3) Ndugu Dr. Yusilida KABUJANJA
(4) Prof. Pius YANDA
(5) Ndugu Cassian C. MBAJIJE
(6) Ndugu Eliadory Felix KAVEJURU

Jimbo la Kigoma Kaskazini
(1) Ndugu Peter J. SERUKAMBA
(2) Ndugu Assa N. MAKANIKA
(3) Ndugu Godfrey H. RUSIMBI
(4) Ndugu Marcel N. TALLINEGA
(5) Ndugu Shaaban A. MTUNDA
(6) Ndugu Athumani S. BAKENE

Jimbo la Kigoma Kusini
(1) Ndugu Nuru Issa KASHAKARI
(2) Ndugu Yasinta Zacharia KAFULILA
(3) Ndugu Nashon Wiliam BDYANGUZE
(4) Ndugu January Benson KIZITO
(5) Ndugu Peter Hezron NYABAKARI
(6) Ndugu Majaliwa Zubeir KAYANDABILA
(7) Ndugu Dkt. Rajabu Abed RIJA

Jimbo la Kigoma Mjini
(1) Ndugu Baruani Abdallah MUHUZA
(2) Ndugu Kirumba Shaaban NG’ENDA
(3) Ndugu Ahmadi Yahya SOVU
(4) Ndugu Clayton Revacatus CHIPONDA (Baba Levo)
(5) Ndugu Maulid Mohamed KIKONDO
(6) Ndugu Moses John BASILA

MKOA WA KILIMANJARO

(i) Jimbo la Moshi Vijijini


1. Prof. Patrick A. NDAKIDEMI
2. Moris D. MAKOI
3. Victor Michael TESHA
4. Deogratius MUSHI
5. Felista D. NJAU
6. Salumu KIKEKE
7. Wilhad A. KITALY

(ii) Jimbo la Vunjo

1. Dkt. Charles S. KIMEI
2. Didas Malembo LYAMUYA
3. Delpjine John KESSY
4. Prosper D. TESHA
5. Yuverial SHIRIMA
6. Enock Z. KOOLA

(iii) Jimbo la Siha

1. Dkt. Godwin Aloyce MOLLEL
2. Tumsifu Andree KWEKA
3. Agrey Desile MWANRI
4. Petro Robert KITINGALA
5. Meijo Lolionyo LAIZER
6. Dkt. Aggrey Humphrey MOSHA
7. Bertha Izack MLAY

(iv) Jimbo la Mwanga

1. Joseph Tadayo ANANIYA
2. Nwaru Jumanne MAGHEMBE
3. Ramadhan Ally MAHUNA
4. Hashimu Salumu IBWE
5. Shaibu Badi MRUMA
6. Pamela John MSUYA
7. Alpha Zidheri MSHANA
8. Amaly Temu MATHEW

(v) Jimbo la Same Magharibi

1. Dkt. Mathayo David MATHAYO
2. Fatuma Abdillah KANGE
3. Philemon Abrahman MCHOME
4. Niwaheri Jonas MNDEME
5. Pro. Ladslaus Laurent MNYONE
6. Yusto Mbazi MAPANDE
7. Goodluc Naiman MCHOME

(vi) Jimbo la Same Mashariki

1. Anne Kilango MALECELA
2. Miryam Edward MJEMA
3. Andrea Godfrey CHEZUE
4. Adam Juma MZEE
5. Dkt. Peter Eliji Felician KIBACHA
6. Nickson Eliud MJEMA
7. Daud Ramadhan MAMBO

(vii) Jimbo la Moshi Mjini

1. Priscus Jacob TARIMO
2. Prof. Neema Penance KUMBURU
3. Ibrahim Mohamed SHAYO
4. Amin Ally TWAHA
5. Samwel Azeri NGOWI
6. Teresia Menas KOMBA

(viii) Jimbo la Rombo

1. John Nicholaus LEONARD
2. Adolf Daustine MKENDA
3. Kacline Inyas SILEMU
4. Colman Samora KANJE
5. Anthony Arobogast MSEKE

(ix)Jimbo la Hai

1. Saashisha Elinkyo MAFUWE
2. Jerry Cornel MURO
3. Fuya Dodwin KIMBITA
4. Apisaria Jonathan KIWORI
5. Tumsifu Daniel SWAI



MKOA WA LINDI

Jimbo la Lindi

(1) Ndugu Hamida Mohamed ABDALLAH
(2) Ndugu Mohamed Mussa UTALY
(3) Ndugu Daud Paul MSUNGU
(4) Ndugu Yussuf Aman MWIDADI
(5) Ndugu Baru Jamal MUSSA

Jimbo la Mchinga
Ndugu Salma Rashid KIKWETE

Jimbo la Kilwa Kaskazini
(1) Ndugu Kinjekitile Ngombale MWIRU
(2) Ndugu Francis Kumba NDULANE
(3) Ndugu Mohamed Nassor NGINGITE
(4) Ndugu Kinemene Omary MANGOSONGO
(5) Ndugu Hawa Said NYONI
(6) Ndugu Vedasto EdgAr NGOMALE
(7) Ndugu Reeves Sisila NGALEMWA

Jimbo la Kilwa Kusini
(1) Ndugu Hasnain Gulamabbas DEWJI
(2) Ndugu Ali Mohamed KASINGE
(3) Ndugu Asia Abdul HUSSEIN
(4) Ndugu Abdallah Mohamed ABDULRAHMAN
(5) Ndugu Hassan Abdallah KIMWEMBWE
(6) Ndugu Fadhili Ally MAGOMA
(7) Ndugu Hamis Ibrahim KIBARABARA

Jimbo la Liwale
(1) Eng. Mshamu Ali MUNDE
(2) Ndugu Rashid Ahmed NGANYAGE
(3) Ndugu Mohamed Said KIGANJA
(4) Ndugu Halifa Abdalla KUJAKILA
(5) Ndugu Habiba Said LYENGITE

Jimbo la Mtama
(1) Ndugu Nape Mosses NNAUYE
(2) Ndugu Jemedari Said KAZUMARI
(3) Ndugu Jabiri Mohamed CHILUMBA
(4) Ndugu Metta Cuthbert NAHONYO

Jimbo la Nanchingwea
(1) Ndugu Amandus Julius CHINGWILE
(2) Ndugu Fadhili Ali LIWAKA
(3) Ndugu Hassan Elias MASALA
(4) Ndugu Mohamed Hamis UNGELE
(5) Ndugu Issa Mohamed MKALINGA
(6) Ndugu Maimuna Ahmad PATHANI

Jimbo la RUANGWA
(1) Ndugu Kaspar Kaspar MMUYA
(2) Ndugu Bakari Kampenya KALEMBO
(3) Ndugu Phillip Undile MAKOTA
(4) Ndugu Fikiri Boniface LIGANGA

Mkoa wa Manyara

(i) Jimbo la Babati Mjini

1. Jones Joseph DARABE
2. Sophia Omari KWAANG’W
3. Flora Joseph HONDI
4. Emmanuel John KHAMBAY
5. Patrice Deemay GWASMA
6. Dkt. Hindi Mastai HINDI
7. CPA. Gabriel Peter SALANGA

(ii) Jimbo la Babati Vijijini

1. Daniel Baran SILLO
2. Emmanuel Philipo GEKUL
3. Stephen Shauri MANDA
4. Hadija Juma NG’UNGU
5. Joseph Priscus JOHN
6. Dkt. Juma Abdallah MUNA
7. Katibu Wilson SANGAYONI



(iii) Jimbo la Mbulu Mjini

1. Baltazar Safari AWE
2. Zakaria Paulo ISSAAY
3. Andrea Axwesso TSERE
4. Emmanuel Margwe AMA
5. Peter Martin SULLE

(iv) Jimbo la Mbulu Vijijini

1. Festo Banga BAYYO
2. Emmanuel Qambaji NUWAS
3. Samwel Gidaguda MALLEYEKI
4. Grace Saulo MALI
5. Bahati Samwel SULLE

(v) Jimbo la Hanang

1. Asia Abdulkarim HALAMGA
2. Samwel Hhayuma XADAY
3. Mary Michael NAGU
4. Franklin Fredrick SUMAYE
5. John Msuli LORI
6. Qambemeda Masala NYAGHURA
(vi) Jimbo la Kiteto

1. Edward Ole Lekaita KISAU
2. Sisca Seuta SEUTA
3. Boniface Hindi EDWARD
4. Alais Teleck NANGORO

(vii) Jimbo la Simanjiro

1. Mwajuma Bakari ALLY
2. Lenana Soipey LENGANASA
3. James Kinyasi MILLYA
4. Timoth Ngoye LENGITAMBI
5. Mathayo Yaiyai LONDROSS
6. Lekoko Lemburis NGITIRI



MKOA WA MBEYA

JIMBO LA UYOLE

1) Dkt. Tulia ACKSON
2) Dkt. SeriaMasole SHONYELA
3) Emily Noah SANGA

JIMBO LA LUPA
1) Noel Damson NTHANGU
2) Masache Njelu KASAKA
3) Geofrey Michael MWANKENJA
4) Sara Joel SOMPO

JIMBO LA MBEYA MJINI
1) Patrick Adkin MWALUNENGE
2) Dkt. Mabula Michael MAHANDE
3) Elizabeth Maginga THOBIAS
4) Sambwee Mwalyego SHITAMBALA
5) Charles Michael MWAKIPESILE
6) Sophia Albin MALINGUMU

JIMBO LA BUSOKELO
1) Atupele Fredy MWAKIBETE
2) Thobias Emir ANDENGENYE
3) Ezekiel Mwakyambo GWATENGILE
4) Lutengano George MWALWIBA
5) Dr Rehema Mwasaga ULIMBOKA

JIMBO LA RUNGWE
1) Anton Albert MWANTONA
2) Richard Atufigwege KASESELA
3) Samuel Gwamaka MAFWENGA
4) Sophia Hebron MWAKAGENDA
5) Aliko Anyambilile MWAITELEKE
6) Godfrey Ndyeli NGWEJELA
7) Eliurd Leonard MWAITELEKE

JIMBO LA KYELA
1) Ally A. Mlaghila JUMBE
2) Baraka Ulimboka MWAMENGO
3) Elius A. MWAKALINGA
4) PAUL DOUGLAS MWAKAJUMBA

JIMBO LA MBARALI
1) Bahati Keneth NDINGO
2) Medson Julius MWAMBAPA
3) Sela Elias MSIGWA
4) Leonard Athuman MUBALI
5) Ibrahim Ismail MWAKABWANGA

JIMBO LA MBEYA VIJIJINI
1) Oran Manase NJEZA
2) Eng.Yisambi Edward SHIWA
3) Dickson Lusubilo SINKWEMBE
4) Felix Jackson LYANIVA
5) Fadhili Bushiri KONGA

MKOA WA MARA

(i) JIMBO LA BUNDA


1. Boniphace Mwita Getere
2. Lazaro William KANDORE
3. Daud Rukiko MAYEJI
4. Aloyce Msafiri MUSIKA
5. Sulusi John NYIKERA
6. Moses Wambura RYAKITIMBO

(ii) JIMBO LA BUNDA MJINI

1. Kambarage Masato WASIRA
2. Ester Amos BULAYA
3. Robert Chacha MABOTO
4. Joseph Daud BULUBA
5. Exavery Mfungo RUGINA

(iii) JIMBO LA MWIBARA

1. Charles Mugata KAJEGE
2. Kangi Alphonce LUGOLA
3. Wilson Maregesi MUKAMA
4. Mbuke Makanyaga MAJULA
5. Idd Mabala YAZID
6. Emmanuel Makalle BUSANYA

(iv) JIMBO LA BUTIAMA

1. Jumanne Abdallah SAGINI
2. Baraka Tyery MANYI
3. Dr. Wilson Mahera CHARLES
4. Manyerere Jackton NYERERE
5. Frank Magesa MAHEMBA

(v) Jimbo la Musoma Mjini

1. Mgore Miraji KIGERA
2. Dr. Eliud ESSEKO (Mkorea)
3. Juma Mokili JUMA
4. John Kyabwene BWANA
5. Philbert Korogo SASITA
6. Mashaka Nelson BISWALO


(vi) Jimbo la Musoma Vijijini

1. Prof. Sospeter Mwijarubi MUHONGO
2. Kenedy Gerson CHIGURU
3. Daud Zakayo MAJINGE
4. Aspernas Magina MTARANGA
5. Evarist Pascal MAGANGA
6. Dr. Mbeba BENJAMINI
7. Bernard Ibrahimu MERUMBA

(vii) Jimbo la Rorya

1. Jafari Wambura CHEGE
2. Sango Issaya Gungu KASERA
3. Nyihita Wilfred NYIHITA
4. Peter Leonard SARUNGI
5. Nchama Clifford WAMBURA

(viii) Jimbo la Serengeti

1. Dr. Amsabi Jerermiah MRIMI
2. Mery Daniel JOSEPH
3. Michael Peter MAHENDE
4. Paulo Kingímbe CHACHA
5. Deogratias Bernard CHACHA
6. Dr. Stephen Kebwe KEBWE



(ix) Jimbo la Tarime Vijijini

1. Mwita Mwikwabe Mwikwabe WAITARA
2. Nyambari Chacha NYANGWINE
3. Simon Kemor CHACHA
4. Deodatus WAIKAMA
5. Edward Mgelea MACHAGE


(x) Tarime Mjini

1. Jackson Ryoba KANGOYE
2. Michael Mwita KEMBAKI
3. Esther Nicholas MATIKO
4. Said Kisyer CHAMBIRI
5. Robert Mkirya CHACHA
6. Mussa Ryoba DEUS
7. Machare Heche SUGUTA



MKOA WA SIMIYU
JIMBO LA BUSEGA

1. Simon Songe LUSENGEKILE
2. Buluba Luteja MABELELE
3. Dkt. Raphael Masunga CHEGENI
4. Feysal Ahmed MOHAMED
5. Francis Majige NANAI
6. Mahaja Jeremiah NDUTA
7. Semastatus Hussein MASHIMBA

JIMBO LA MASWA MASHARIKI
1. Nyongo Stanlaus HAROON
2. George Venance LUGOMELA
3. Nyangi Kikane KIMORI
4. Mayunga George NGOKOLO
5. Dr. Adolf Genald SARIA

JIMBO LA MASWA MAGHARIBI
1. Mashimba Mashauri NDAKI
2. Dr. Zeye Masunga NKOMELA
3. Magreth Paul KUHANWA
4. Aron Joseph MBOJE
5. Joseph Nkuba Paul BUKOYE
6. Jonathan Masalamado MGASA

BARIADI MJINI
1. Lucy John SABU
2. Eng. Kundo Andrea MATHEW
3. Ndugu Heri Mchunga ZEBEDAYO
4. Dr. Buyiki Mboje BUGUMBA

JIMBO LA BARIADI VIJIJINI
1. Masanja Kungu KADOGOSA
2. Isack Juma NGASANI
3. Malangwa Machibya MAJABA
4. Joseph Nyanda BOMANI

JIMBO LA ITILIMA
1. Njalu Daudi SILANGA
2. Joseph Paulini MAKONGORO
3. Jeremiah Joseph MKULUKULU
4. Emmanuel Maduhu SUBBI

JIMBO LA MEATU
1. Salum Khamis SALUM
2. Leah Jeremiah KOMANYA
3. Robert Fabian MACHIBYA
4. Luhende Emmanuel HUNGE
5. Oscar Maduhu PAUL
6. Renatus Karigamba PHILBERT

JIMBO LA KISESA
1. Lusingi Sitta MAKANDA
2. Silinde Gumada MHACHILE
3. Joel Mchunga MBOYI
4. Dr. Madili SAYI SAKUMI
5. Godfrey MBUGA
6. Elias Joseph MAMBEMBELA
7. Gambamala Michael LUCHUNGA

MKOA WA MOROGORO

(i) Jimbo la Kilombero


1. Abubakar Damiani ASENGA
2. Abdulla Zuru LYANA
3. Aloyce Patrick TENDEWA
4. Issa Vitus LIPAGILA
5. Christina Dominic KULENGE
6. Denis Isdoly BANDISA
7. Ndengamu Lulu Ally UTOTO
8. Salum Aman MFUNGAHEMA

(ii) Jimbo la Mlimba

1. Kellen Rose RWAKATARE
2. Dionisia Kidowele DANDA
3. Hamis Karim NG’ONG’OZO
4. Joseph Antony LINGENDEO
5. Andrew Andrew ALYAMUHINDI
6. Faraji Jumanne ZEGEGE
7. Acley Jastus MHENGA


(iii) Jimbo la Kilosa

1. Prof. Palamagamba KABUDI
2. Rehema Athuman SIMBA
3. Ahmed Mustafa MKULO
4. Dotto Said NDUMBIKWA
5. Dkt. Ford Moses CHISONGELA
6. Menance Thomas MHOMBWE

(iv) Jimbo la Mikumi

1. Dennis Lazaro LONDO
2. Anisia Ndalahusa DETEBA
4. Zabina Said KINYOWA
5. Omary Ahmed ABDALLAH
6. Beatus Clemence LYAMBA

(v) Jimbo la Morogoro Mjini

1. AbdulAziz Mohamed ABOOD
2. Thecla Rogath MBIKI
3. Dkt. Ally Yahaya SIMBA
4. Ndugu Khalfani Hussein MAKILA
5. Eng. Robert Mashala KADIKILO
6. Tito Yohana MLELWA
7. Bupe Steven KAMUSHA

(vi) Jimbo la Morogoro Kusini Mashariki

1. Hamisi Shabani TALETALE
2. Rose Daniel SHAWA
3. Robert Francis SELASELA
4. Semeni Mwinyimvua KINGARU
5. Farid Abdallah AMANZI
6. Omary Tebweta MGUMBA
7. Ramadhani Ramadhani MUHOJI

(vii) Jimbo la Morogoro Kusini

1. Zuberi Yahya MFAUME
2. Dkt. Suzanne Cassian KIBOZI
3. Mhandisi Mathew John MTIGUMWE
4. Andrian Jovin JUNGU
5. Sudi Musa MPILI
6. Martine Lazaro GUMBO
7. Kessy Juma MKAMBALA
8. Ramadhani A. Youb BANZI

(viii) Jimbo la Mvomero

1. Suleiman Ahmed SADDIQ
2. Stoys Leo SIMBAMWENE
3. Yusuph Athuman MAKUNJA
4. Jonas Van ZEELAND
5. Sara Msafiri ALLY
6. Bright Fidelis MSHANA
7. Dkt. Adam Joseph CHIDYAU
8. Prosper Remmy MAGALI

(ix) Jimbo la Gairo

1. Ahmed Mabkhut SHABIBY
2. Reuben Douglas MWEGOHA
3. Baby Pehnford BRIGHTON
4. Dastan Malema MZIWANDA

(x) Jimbo la Malinyi

1. Hamidu Said MWAMBUNGU
2. Deogratius Christian MBWASI
3. Mecktridis Fratern MDAKU
4. Antip[s Zeno MGUNGUSI
5. Zabron Nicodem MFUNGWASITA
6. Simon Simon NGONYANI
7. Florian Christian MBALLA

(xi) Jimbo la Ulanga

1. Salim Alaudin HASHAM
2. Abdallah Said KIRUNGU
3. Thabiti Omari DOKODOKO
4. Christina Basilius MPETE
5. Andrew Isack MAGOMBANA
6. Agustino Oscar MATEFU



MKOA WA MTWARA

Jimbo la Mtwara Mjini

(1) Joel Arthur NANAUKA
(2) Judith Martin NGULI
(3) Mtenga Hassan MTENGA
(4) Zhia Adinani ALLY
(5) Engeltraud Edmund MBEMBA
(6) Baisa Abdalla BAISA

Jimbo la Mtwara Vijijini
(1) Arif Suleiman PREMJI
(2) Shakira Selemani LENGA
(3) Selemani Mussa MWAMBA
(4) Hamisi Batiri NANKAHA
(5) Siraji Selemani MTENGUKA

Jimbo la Nanyamba
(1) Abdallah Dadi CHIKOTA
(2) Rukia Hamisi MCHIKA
(3) Dadi Ismaili NAMMANJE
(4) Salumu Mohmed MKUMALA
(5) Remigius Swaleh MBOWA

Jimbo la Tandahimba
(1) Katani Ahmadi KATANI
(2) Dkt. Salumu Twahili MANYAMBA
(3) Hamidu Jamali MPONDA
(4) Juma Abdallah NJWAYO
(5) Said Said RASHIDI
(6) Skana Issa NGAKOLA
(7) Emmy Said NANGOLI

Jimbo la Newala Mjini
(1) Rashidi Mohamed MTIMA
(2) Zafarani Athumani MADAYI
(3) Zuhura Said MKUMBA
(4) Yahya Rahis MNUNG’A

Jimbo la Newala Vijijini
(1) Yahaya Esmail NAWANDA
(2) Haji Musa MNASI
(3) Maimuna Salumu MTANDA
(4) Hussein Said HITU
(5) Isabela Octava CHILUMBA
(6) Masoud Swaleh MASOUD

Jimbo la Lulindi
(1) Halfan Ahmed MATIPULA
(2) Fatma Shaaban MROPE
(3) Curtias Herry MBALAMULA
(4) Issa Ali MCHUNGAHELA
(5) Julius Mseleche KAONDO
(6) Jerome Dismas BWANAUSI

Jimbo la Masasi
(1) Leonard Doglas AKWILAPO
(2) aniford George MPELUMBE
(3) Joyce Agatha HAJI
(4) Moza Said GWASA

Jimbo la Ndanda
(1) Muhaji Rashid HAKIM
(2) Faraji Buriani NANDALA
(3) Mbaraka Iddi MCHOPA
(4) Mwanaisha Said LIHYUKA

Jimbo la Nanyumbu
(1) Palango Salum ABDUL
(2) Yahya Ally MHATA
(3) Dua William NKURUA
(4) Christopher Edward NDIZI
(5) Ngaluzi Ajili STAMBULI


MKOA WA MWANZA

(i) JIMBO LA ILEMELA

1. Kafiti William KAFITI
2. Nelson Stanley Mesha
3. Dr.Flora Godwin Lauo
4. Tumaini Benjamini Masuka
5. Emmanuel Bulunja Luhemeja
6. Fadhili Hassan Kinyenga
7. Majaliwa Umoja Magonya
8. Willbard Rutaremwa Kilenzi
9. Resper Samwel Ngoga

(ii) JIMBO LA KWIMBA
1. CPA. John Mihayo CHEYO
2. Cosmas Mtesigwa BULALA
3. Emmanuel Daud TAYARI
4. Dr. David Mayala MULONGO
5. Joel Michael MAYUNGA
(iii)JIMBO LA SUMVE
1. Moses Charles BUJAGA
2. Masengwa Shinje BUSIGASOLWE
3. Cuthbert Albert JOSEPH
4. Richard Mchele NTUNDURU
5. Dkt. Hamza Kija MAYENGA
(iv) JIMBO LA MAGU

1. Prof Noah Makula PAULINE
2. Boniventura Destery KISWAGA
3. Prof Edwinus Chrisantus LYAYA
4. Sundi Kulugala MALOMO
5. Dolia Julius SAHANI
6. Daud Emanuel MANENO

(v) JIMBO LA MSUNGWI

1. Alexander Pastory MNYETI
2. Slivery Luboja SALVATORY
3. Mapuli William KAFITI
4. Deusdediti Emmanuel KOMANYA
5. Issa Pauline LUFUNGULO
6. John Mboje Kilangi MALOGOI

(vi) JIMBO LA NYAMAGANA
1. John Fransisco NZILANYINGI
2. Dr Phillip Raphael MAKOYE
3. Stanslaus Shing’oma MABULA
4. Pendo Lawi Costantine
5. Laurence Kego MASHA
6. Erick Shem Gwaje
7. Henry Magege CHOTTA

(vii) JIMBO LA SENGEREMA

1. Tabasam Hamis MWAGAO
2. William Mganga NGELEJA
3. Rachel Nyarusanda BUGINGO
4. Martin Shigongo LUBANGO
5. Omari Sukari NIGURA
6. Joshua Hassan SHIMIYU
7. Wilson Samwel SHIMO

(viii) JIMBO LA BUCHOSA
1. Charles Jonn TIZEBA
2. Eric James SHIGONGO
3. Nandi Mathias JAMES
4. Kelebe Bandoma LUTELI
5. Jacline George MILAZI
6. Leonard Mandago MASAI

(ix) JIMBO LA UKEREWE
1. Dkt. Switbert Zacharia MKAMA
2. Susana Kululetela NUSSU
3. Joseph Michael MKUNDI
4. Dkt. Laurian Salvatory MGANGA
5. Joshua Bituro MANUMBU
6. Leonard Mujola BABILAS
7. Japhet Mtyama KASIRI


MKOA WA NJOMBE

Jimbo la Makambako

1) Daniel Godfrey CHONGOLO
2) Deo Kasenyanda SANGA

Jimbo la Lupembe
1) Edwin Enosy SWALLE
2) Gaston Julius KADUMA
3) Alois Athanas MWENDA
4) Alatanga Ludaliko NYAGAWA
5) Joram Ismail HONGOLI
6) Basil Andrew MBUNA

Jimbo la Njombe Mjini
1) Ndugu Deodatus P. MWANYIKA
2) Ndugu Joseph W. MHOHA
3) Ndugu Moturi M. NKOMBE
4) Dkt. Abdul A. ABDUL

Jimbo la Ludewa
1) Joseph Zacharius KAMONGA
2) Merkion Antony NDOFI
3) Dkt. Philipo Haule FILIKUNJOMBE
4) Eng. Zephania A. CHAULA
5) Dkt. Neema G. MTURO
6) Anumie Vicent MTWEVE
7) James Innocent MKINGA

Jimbo la Makete
1) Dkt. Toba Anderson NGUVILA
2) Award Assah MPANDILA
3) Festo Richard SANGA
4) Prof. Norman Adamson MSIGALA
5) Ndugu Selina Agustino MSIGWA

Jimbo la Wanging’ombe
1) Dkt. Feston John DUGANGE
2)Enock Token KISWAGA
3) Eunice Isaack WILOMO
4) Eliud Tawi NYAUHENGA
5) Malumbo Philip MANGULA


MKOA WA RUKWA

Jimbo la Kalambo

1) Ndugu David Emmanuel MWANAKATWE
2) Ndugu Frolence William SITIMA
3) Ndugu Edifonsi Joackim KANONI
4) Ndugu Josephat Sinkamba KANDEGE
5) Dkt. Gasper Peter MWEMBEZI
6) Ndugu Edson Athanas MAKALO

Jimbo la KWELA
1) Ndugu Deus Clement SANGU
2) Ndugu Justin Gipson HIYARI
3) Ndugu Derick Kabion SIKALE
4) Ndugu Walter Gervas SIMSOKWE
5) Ndugu Yuster Senga BAHATI

Jimbo la Sumbawanga Mjini
1) Aesh Khalfan HILALY
2) Maiko Richard KACHOMA
3) Sultan Saleh SEIF
4) Frank David MWALEMBE
5) Dkt. John Vedast NANDI
6) Ndugu Jofrey Emmanuel KALINDA
7) Ndugu Mbonimpaye Ntiyonza NKORONKO

Jimbo la Nkasi Kusini
1) Vicent Paul MBOGO
2) Moses Ludovico KAEGELE
3) Mwanansao Christopher EVARIST
4) Desderius John MIPATA
5) Selis Noel NDASI

Jimbo la Nkasi Kaskazini
1) Ndugu Jonas Leandro KIFUNDA
2) Ndugu John Joseph SICHILIMA
3) Ndugu Thomas Leopord KALUNGA
4) Ndugu Salum Hamad KAZUKAMWE
5) Ndugu David Ndilo SIAME

January Out.
Nape Inn
Vigezo???
 
JIMBO LA TARIME VIJIJINI
1. Ndugu Mwita Mwikwabe Mwikwabe WAITARA
2. Ndugu Nyambari Chacha NYANGWINE
3. Ndugu Simon Kemor CHACHA
4. Ndugu Deodatus WAIKAMA
5. Ndugu Edward Mgelea MACHAGE.

TARIME MJINI
1. Ndugu Jackson Ryoba KANGOYE
2. Ndugu Michael Mwita KEMBAKI
3. Ndugu Esther Nicholas MATIKO
4. Ndugu Said Kisyer CHAMBIRI
5. Ndugu Robert Mkirya CHACHA
6. Ndugu Mussa Ryoba DEUS
7. Ndugu Machare Heche SUGUTA
Tunaenda na Nyambari Nyangwine alisaidia sana katika elimu na vitabu vyake vilikuwa straight forward topic moja ya hesabu unaikata siku moja kwenye geography ndio usiseme points ame analyse vizuri kweli. Wana Tarime vijijini twendeni na bwana Nyambari Nyangwine. CCM oyeeeeeee
 
Makalla asema ccm inapendwa na makundi mengi, mama lishe, bodaboda, bongo muvi, wasanii, waandishi. Sasa mbona sijaona mama lishe na bodaboda waliopeta? Shilole kapeta? Kwa kundi gani la mama lishe, wasanii au bongo muvi?
 
Back
Top Bottom