SAFI KABISAJimbo la Bumbuli - January Makamba OUT
Asee wananch wake walikua wanalia hadi huko Tiktokfyekwaa
Kuna ule uzi wa machawa kwisha kazi,simu moja tu...nautafuta siuoniTuwauloze nyie mlikuwa mnasema hagombei 😆 😆
Mara kakatwa,mara yumo..mbona mnatuchanganya!?Jimbo la Tanga Mjini - Ummy Mwalimu IN
Mshua alipambana kweli sipingi, lakini bado mama yangu kwangu ni bora zaidi ya mzee.Acha kumtukuza maza kupita kiasi ukimuweka kando mshua aliyepambana
Mtatifua nini na Mko Nje? 🤣🤣😲Tumefikiwa huumtifuano bado wamoto
Ata mimi niko confusedMara kakatwa,mara yumo..mbona mnatuchanganya!?
Ni mpumbavu, juha na aliyekosa malezi mema ndiye anaweza kumuingiza mama/baba/mtoto wa mtu kwenye mada asiyohusika nayo.Kwangu hicho kiumbe ulichotaja ni cha kipekee mnoo, sijui unetaja kwa mazuri ama dhihaka, ila nikueleze tu sijapenda hata kidogo mkuu.
mbona kasema jimbo hakuna aliechukua?Kwamba familia ya kikwete na dotto biteko tu ndo whawakuwa na ushindani dah yule baba wa kambo mjanja nyiee
Jina lake limetajwa leo na CPA MakallaMara kakatwa,mara yumo..mbona mnatuchanganya!?