Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,408
- 2,282
Mwanaye yupi tena ?Nchimbi licha ya kuukodolea macho uraisi, tayari amesha penyeza jina la mwanae kwenye ubunge na ndie alikuwa top kwenye orodha
Mwanaye yupi tena ?Nchimbi licha ya kuukodolea macho uraisi, tayari amesha penyeza jina la mwanae kwenye ubunge na ndie alikuwa top kwenye orodha
Nani huyo? Atapatia wapi Urais wakati ameshateuliwa VP? Labda yatokee ya MwendazakeNchimbi licha ya kuukodolea macho uraisi, tayari amesha penyeza jina la mwanae kwenye ubunge na ndie alikuwa top kwenye orodha
Jimbo gani ?OYA JIMBO LA MOROGORO VIPI?!!!
luJaamani mwenye mkeka ww jimbo la mwibara anitonye
Zilivuja kitambo sanaNiipongeze kamati kuu ya CCM ya safari hii kwa usiri na kutunza siri
Hazijavuja kabisa
Mbona tayari huko ?
Unataka kujua wateule wa jimbo gani ?
ohn nchimbiMwanaye yupi tena ?
John si mtoto bali ni mdogo wa EmmanuelJ
ohn nchimbi
Kauzibe kapi wakati baada ya SSH ni Mristo?Huyo kakatwa ili kumuondolea kauzibe riziwani
Nionavyo akiwa VP inabidi SAMIA ajiangalie sana. Isije tangazwa tangazo la taifa huku yeye akiwa Mzena hospital maana huyu mwamba tangu zamani macho yapo kwenye uraisiNani huyo? Atapatia wapi Urais wakati ameshateuliwa VP? Labda yatokee ya Mwendazake
Ni kweli ila Hawa wote ni project za mifumo watajuana huko hukoNionavyo akiwa VP inabidi SAMIA ajiangalie sana. Isije tangazwa tangazo la taifa huku yeye akiwa Mzena hospital maana huyu mwamba tangu zamani macho yapo kwenye uraisi
yumo ndaniUmmy Mwalimu ilikuwa ni suala la wakati tu. Ana roho mbaya sana, aliumiza na kuharibu maisha ya wengi akiwa Wizara ya Afya. Karma never loses location