Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 2,103
- 1,419
Alikuwepo Hamidu BobaliKwahiyo Mchinga limetoka jina moja tu.
Alikuwepo Hamidu BobaliKwahiyo Mchinga limetoka jina moja tu.
Newala Mjini tunaenda na Mtima
GamboMbunge gani ambaye jina lake halikurudi
LydiaSingida magharibi??
Singida mjini??
Kama ilivyo Mchinga kwa Mama SalmaUnaweza ukaambiwa hata alikuwa peke yake hakuna mgombea mwingine
Wanajua waoHivi huyu Mama alifanya msala gani? mbona wanampoteza ghafla?
Mfumo unataka majangili tupuUzuri hakuna watu wa maana waliotangaza nia
Mbona tayari huko ?Tunasubiri Mkoa wa Kagera