Unaweza ukaambiwa hata alikuwa peke yake hakuna mgombea mwingineVipi Mchengerwa jina limerudi🤣🤣?
Yaani. Na kwa Riz ivyo ivyo..Eti kwa salma kikwete hakuna aliyejitokeza kuchukua form zaidi yake
Mchengerwa outVipi Mchengerwa jina limerudi🤣🤣?
HawajasomaJimbo la Bumbuli vip
Hii haiwezekani kamwe.Mchengerwa out
Wanatuona wajingaaa walishapewa fungu wakanyamazishwaYaani. Na kwa Riz ivyo ivyo..
kivipi , imewezekanaje?Mchengerwa out
Hawana website hata tiktok account hawanaIngekuwa bora zaidi kama ungetolewa mkeka halafu kila mtu akajisomea kivyake.
Mama yako angeenda kwa niaba yakoMie ningekuwa muandishi wa habari nisingeenda, 😂
Eti wanavuta tension ya watu ionekane chama kinapendwaMajina yamekuwa majina what shit nigga