Yeye mwenyeweMtangazaji?
Mwanza wamepita kina nani?Nimefurahishwa sana na kamati kuu kuwafyeka Gambo na Ole Sabaya
Busokelo - Thobias Andengenye INPhobias Andengenye-Busekelo IN
AfandePhobias Andengenye-Busekelo IN
Safi sana gntlmanGentleman,
ni nadra sana kwa viongozi makini wachapa kazi kama mimi kukosekana kwenye 3, hata hivyo sio muhimu sana kulingana na wajibu mzito wa wananchi ninaoushikilia kwa sasa, ingawa nipo shamba kidogo onetime kwasasa 🐒
Sijasema kuna shida mkuuKwani kuna shida gani hata kama ni Kipenyo ?
Subiri tuone.
NdioYeye mwenyewe
Nimepita mimi mkuuMwanza wamepita kina nani?
Tarime Vijijini - Mwita Mwikabe Waitara INWakuu Halima Mdee vipi, kapita?
Hivi yupo?Jimbo la kaliua vip Mzee kapuya kapenya