DAmu Moja mwanae/mtu wa karibu elewa hivyoJohn si mtoto bali ni mdogo wa Emmanuel
DAmu Moja mwanae/mtu wa karibu elewa hivyoJohn si mtoto bali ni mdogo wa Emmanuel
Kwani katiba inasema hivyo?Kauzibe kapi wakati baada ya SSH ni Mristo?
#SSH hagombei 😆😆😆😆😆
Ndugu yako amepita bila kupingwa?Ahaaa !
Leo nimefurahia mambo mawili kumkata Gambo na ndugu yangu wa damu kutoka JF jina lake kurudi.
Hongera Sana pia pole Sana Byabato
Tuwauloze nyie mlikuwa mnasema hagombei 😆 😆Kwani katiba inasema hivyo?
Jimbo la Bumbuli - January Makamba OUT
Huyo kashapita kapingwa na vibonde watupuNdugu yako amepita bila kupingwa?
Nani hagombei?Tuwauloze nyie mlikuwa mnasema hagombei 😆 😆
Inasikitisha sanaHuyo kashapita kapingwa na vibonde watupu
Kwangu hicho kiumbe ulichotaja ni cha kipekee mnoo, sijui unetaja kwa mazuri ama dhihaka, ila nikueleze tu sijapenda hata kidogo mkuu.Mama yako angeenda kwa niaba yako
Kangi innJaamani mwenye mkeka ww jimbo la mwibara anitonye
Jimbo la KyerwaMbona tayari huko ?
Unataka kujua wateule wa jimbo gani ?
fyekwaaJanuary Makamba vipi?
Huyu mzee nlikuwa najua bila yeye hakuna simanjiro😀😀Huyu babu akacheze na wajukuu, awapishe madogo.
Acha kumtukuza maza kupita kiasi ukimuweka kando mshua aliyepambanaKwangu hicho kiumbe ulichotaja ni cha kipekee mnoo, sijui unetaja kwa mazuri ama dhihaka, ila nikueleze tu sijapenda hata kidogo mkuu.