GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

GE2025 Kamati Kuu CCM yatangaza rasmi majina ya watia nia Ubunge 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mshua alipambana kweli sipingi, lakini bado mama yangu kwangu ni bora zaidi ya mzee.
Huijui familia yangu, haina haja ya kubishana.
Aah hizo akili za huyo jamaa dp (pac) na dear mama yake,nikifikiria ninavyopambana kwenye vibarua mashambani,site nk.. nywele za korodani nyeupe kwa jasho mgando,salute nyingi sana kwa mshua kuhakikisha milo mitatu haikosekani
 
Back
Top Bottom