Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,890
- 26,440
Makalla kuna sehemu kabla na baada ya kutaja baadhi ya majina, kaweka pause kwanza kisha kanywa maji, kutua roho.Bilashaka baada ya kusoma,wataweka,hata hivyo MWENEZI lazima ale ya POSHO kwanza.
Hatari sana.