Apite kwenda wapi ?chief godlove amepita?
Wataleta chokochoko kama za polepole gwajima na mpina. Wwtaongeza nguvu ya kupinga status quo ya chamaKwamba wataenda chaumma
..ishii? huyu baabiato si ni ndg yako weye? halafu mzee wa goli la mkono si alisema atamnaniliu siku ile asa imekuwaje?Ahaaa !
Leo nimefurahia mambo mawili kumkata Gambo na ndugu yangu wa damu kutoka JF jina lake kurudi.
Hongera Sana pia pole Sana Byabato
Aisee yaani pamoja na kashfa ya ulawiti ila atapita na uwaziri watampaMtu mzito, jiandae kumpokea.
Kwa mtoto na Mke hakuna Wapinzani 😆👍👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DMsRO-AoM9F/?igsh=MTZ6OTF4NHplb3Bncw==
dahApite kwenda wapi ?
Ameliwa kichwa.
Hao walioleta chokochoko wamenufaika nini!?..wamefika wapi?Wataleta chokochoko kama za polepole gwajima na mpina. Wwtaongeza nguvu ya kupinga status quo ya chama
Kwa mtoto na Mke hakuna Wapinzani 😆👍👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DMsRO-AoM9F/?igsh=MTZ6OTF4NHplb3Bncw==
Aweso atachuana na make wake au? 😆😆👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DMsQsqTt7AV/?igsh=MWJraTBhNnB1ajdvNg==
makamba vipi?Apite kwenda wapi ?
Ameliwa kichwa.
Hii Aibu kubwa asee
Ndio uhuni uliokuwa unaongelewa
Huko hakunaga vibe binafsi siwajuiTulieni tusikilize majimbo ya zanzibar japo hatuna vibe nayo kama majimbo ya bara yenye mastaa wengi