Kamati kuu CHADEMA ni batili kukaimisha ni batili na waliokaimishwa ni batili

Ndiyo maana mnashangilia hata wenye PhD za mazabe kama kina bi kiziwi. Inakuaje mtu mwenye PhD anaongea akiwa raisi tena mambo serious kama yupo kwenye kitchen party huko kwao ?
Kwahiyo chakandumuz wako juu ya sheria?
 
Kwani kukaimisha nini si ni kushikilia tu nafasi by the way. Mpaka hapo wametii maelekezo ya Msajili.Baraza kuu litaitishwa na kukamilisha zoezi
 
Hao wajumbe 10 ni wale heavy weight (veto members) kwenye Kamati Kuu na kwenye kufanya maamuzi. Wamecontaminate the whole organ.
 
Nipe shule, Niko tayari mkuu.
Ulipoleta mada hukutaka shule bali ulileta ujuaji ndani ya kutokuelewa kwako. Sasa we soma tuu majibu ndio shule yenyewe.
Wakati mwingine usikubali uccm ukuondoe akili.
 
Wengine nao wanasema msajili amekosea. Usawa unakua wapi wawili wote wakiwa wamekosea halafu eti kila mmoja akitaka kumrekebisha mwenzake?
 
Kwani kukaimisha nini si ni kushikilia tu nafasi by the way. Mpaka hapo wametii maelekezo ya Msajili.Baraza kuu litaitishwa na kukamilisha zoezi
Huwezi kumkaimisha mtuhumiwa brother. Mnyika ana tuhuma kuwa huenda sio halali, kwanini unamkaimisha tena huyohuyo?
 
Kachukue kiti kimoja kwa sababu wewe ni halali
 
The matter is complex. Chairman yupo taplo, Baadhi ya Wadhamini wameshitaki Chama, Wanachama waandamizi wamejitenga, Kamati kuu imetenguliwa na Msajili na Uchaguzi Mkuu ni October 2025.
Ni full mauzauza
 
Msajili hajatengua kamati kuu mkuu usipotoshee
 
Msajili hajatengua kamati kuu mkuu usipotoshee
Shida yenu hamsemi hamsemi ugomvi wenu na msajili ili maswali yapungue, badala yake mnahemkia Kila mtu anaetaka kujua. Hii inaonyesha ni Lissu, Mnyika, Lema na Heche tu ndio wenye majibu ya kilichotokea.
 
The matter is complex. Chairman yupo taplo, Baadhi ya Wadhamini wameshitaki Chama, Wanachama waandamizi wamejitenga, Kamati kuu imetenguliwa na Msajili na Uchaguzi Mkuu ni October 2025.
Ni full mauzauza

Hivi ninyi watu hata kusikia tu ni tatizo? Au hata ukisikia huwa huelewi?

Lini msajili alitengua kamati kuu ya CHADEMA?
 
Pole wewe uliyesitishiwa ruzuku kwa upumbavu wenu. Hivi unadhani msajili wa vyama ni mpumbavu kama wewe? Hapa ni maswali na majibu kwa
wasioelewa Katiba yenu na nini msajili hakubaliani nacho. Ndio maana nikaulia kama nakosea au la. Mwehu we.

Wewe hata akili ya kuelewa, hata ukifundishwa inaonekana huna! Maana unafundishwa lakini inaonekana hakuna unachoelewa.

Umgekuwa na akili japo ndogo, ungelelewa kuwa msajili haijaitengua kamati kuu, bali amewataja tu wale ambao yeye kwa vigezo vyake, anawaona kuwa siyo halali. Sasa, kama una akili hata ndogo, hapo usichokielewa ni nini? Msajili anaitambua kamati kuu, anawatambua viongozi wote waluochaguliwa. Aliowakataa ni wale ambao wanateuliwa na mwenyekiti na kuidhinishwa na baraza kuu. Kama huelewi mpaka hapo, kapumzike, subiria kauli ya Msajili na mahakama, maana wao wana utimamu wa akili.
 
c4c chauma for ccm
 
Hivi ninyi watu hata kusikia tu ni tatizo? Au hata ukisikia huwa huelewi?

Lini msajili alitengua kamati kuu ya CHADEMA?
Eleza kwa ufasaha kile msajili asichopenda kwenye uongozi wa cdm ili kuongeza ufahamu wa wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…