Uchaguzi 2020 Kamati Kuu (Halmashauri Kuu) walikosea sana kumpitisha Askofu Gwajima kugombea Ubunge Kawe

Nyie mtakuwa waumini wa Gwajima kwenye kikanisa chake cha kukusanya pesa za watu.
 
Watu wameelimika na siyo ahadi za kuwapeleka Marekani na wakati waumini wake ni masikini wakutupwa
 
Subiri th 28 dawa ikuingie vizuri.
 
CCM oyeeeeeee
Gwajima oyeeee kama alikuwa nafasi ya tatu na akateuliwa ujue hata huu ubunge lazima ashinde tu maana n haki yake kabsa haijalishi nani anamchukia au nan anampenda Gwajima kushinda n lazima.
Mwandiko ka wa madam Cocochannel 😀

Everyday is Saturday.................................😎
 

Inaonekana kuna mengi ambayo huyajui, wanaKawe tunampenda mbunge wetu na tutachagua CCM.. Gwajima baba lao na CCM chama lao
 
Hiyo video ya Gwajima ya kutukana dini za watu wengine ni uthibitisho kamili kwamba hafai kuwa Mbunge. Mbunge huheshimu dini za watu wote, na hawawezi kuita viongozi wa dini kama Katoliki manabii wa uongo.

Kwa maoni yangu, kama kuna nabii wa uongo Tanzania basi Gwajimaa ndiye nambari wani. He is just another con artist.
 
Hivi Bonah Kamoli wa jimbo la Segerea mbona katumia jina jipya au alikua na cheti feki
 
Kwa hii clip huyu hafai kuwa mbunge hata siku moja
 
Huo Uongo wewe, Gwajima anakubalika Kawe Sana kuliko kawaidaa
 
KAwe ni bahati mbaya! Halima hovyo, Gwajima hovyo! Chagueni kati ya mashetani wawili maana sijawahi sikia jimbo lisilo na mbunge baada ya kukosa mwenye sifa.
 
Wanaopiga kelele nyingi Gwajima atashinda ni Waumini wake, Wana CCM wengi wa Kawe hawamtaki.
 
Binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosea ni kawaida. Kufuatia ukongwe na uzoefu wa CCM, CCM, haikukosea kumteua Askofu Gwajima, ndiye chaguo sahihi kwa maendeleo ya jimbo la Kawe.

P
Unatka kusema leo Gwajima anaweza kukana hayo aliyoyasema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…