Kamati kuu ya CCM ilipaswa kupendekeza IGP Sirro aondolewe, sio kutathmini mwenendo wa Tanpol. Ukiukwaji wa haki za binadamu umekithiri hapa nchini

Kama Mtu mkuu ameamashisha,kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, sasa mnataka hao Askari wafanyeje?hapa akuna cha mwasisi haya Mambo yamekuwepo toka tawala na tawala,kuna utawala huko nyuma hadi Maharubino na vikongwe, walikuwa dili, Mpaka harubino walitafutiwa mahari pa kuwaficha ili wasiuwawe wote, Kazi hiyo ilimalizwa na Magufuli,watu kuhuwawa haujaanza hawamu ya tano tu hata huko nyuma watu wengi wamekufa sana tena ambao hawana hatia
Muasisi wa haya hayupo, Sasa ni wakati wa kung'oa mizizi midogo midog
 
Kama Mtu mkuu ameamashisha,kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, sasa mnataka hao Askari wafanyeje?hapa akuna cha mwasisi haya Mambo yamekuwepo toka tawala na tawala,kuna utawala huko nyuma hadi Maharubino na vikongwe, walikuwa dili, Mpaka harubino walitafutiwa mahari pa kuwaficha ili wasiuwawe wote, Kazi hiyo ilimalizwa na Magufuli,watu kuhuwawa haujaanza hawamu ya tano tu hata huko nyuma watu wengi wamekufa sana tena ambao hawana hatia
Jiwe ndiye alikuwa muuaji no 1. Nadhani hata ishu ya kutekana pamoja na watu wasiojulikana vyote viliasisiwa na Jiwe
 
Mbona hakina Olimboka walitekwa na kutupwa mabwe pande,huo ulikuwa utawala wa Magufuri?kuna tawala nyingine hadi Maharubino walikuwa hawana haki ya kuishi,kuna Watu walifukiwa kwenye migodi wakiwa wazima, Kama unabisha kamulize Lissu na Mrema,jiwe ni ni nadharia, Ukiuliza ameua Nani na Nani, unaleta hisia tu
 
Wakiona vipi lifutwe hilo jeshi la polisi,tuwekewe JWTZ kwenye vituo vya polisi,nadhani malalamiko ya wananchi yataisha.Nawaza kwa sauti.Wafanye tu hivyo,wananchi tutainjoi sana,tena sana.
Ucje kuomba tena acha kabisa polisi pamoja na madhaifu yao kumbuka hii amani tunayoiona asilimia 90 imeletwa na polisi ,polisi wakiacha kufanya kazi saa moja apatakalika polisi wanafanya kazi ktk mazingira magumu,maisha yao ,magumu,mishahara ,midogo awalali wanatulinda sisi afai kabisa kuwabeza na kuwadharau sbb tu ya wachache wakorofi tuwaunge mkono hili jeshi ni muhimu hakuna duniani nchi aina polisi lakini kuna nchi hazina jeshi la ulinzi huo ndio umuhimu wa polisi
 
Boresheni maslahi ya polisi.Huwezi fanya kazi huku unaumwa njaa.
 
Wakiona vipi lifutwe hilo jeshi la polisi,tuwekewe JWTZ kwenye vituo vya polisi,nadhani malalamiko ya wananchi yataisha.Nawaza kwa sauti.Wafanye tu hivyo,wananchi tutainjoi sana,tena sana.
Unayajua mafunzo ya JWTZ?
Omba mbadala was jeshi la polisi.
 
Back
Top Bottom