mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Kama Mtu mkuu ameamashisha,kila mbuzi ale urefu wa kamba yake, sasa mnataka hao Askari wafanyeje?hapa akuna cha mwasisi haya Mambo yamekuwepo toka tawala na tawala,kuna utawala huko nyuma hadi Maharubino na vikongwe, walikuwa dili, Mpaka harubino walitafutiwa mahari pa kuwaficha ili wasiuwawe wote, Kazi hiyo ilimalizwa na Magufuli,watu kuhuwawa haujaanza hawamu ya tano tu hata huko nyuma watu wengi wamekufa sana tena ambao hawana hatia
Muasisi wa haya hayupo, Sasa ni wakati wa kung'oa mizizi midogo midog