Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kumbe mlidhamiria kabisa kutuua! Dah nyie Watu ni mashetaniAmesema “Maelezo hayo yamezingatia Ibara ya 20 Kifungu kidogo B ya Ilani ya Uchaguzi 2025, kuongeza upatikanaji wa huduma za kifedha kwa gharama nafuu kwa kupanua wigo wa matumizi ya TEHAMA, kuchochea uwekezaji wa ndani na kukidhi mahitaji halisi ya Wananchi hususani waishio vijijini.”