Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Zama zinabadirika ila mwanadamu ni yule yule, zama zetu tukitembea umbali mrefu kutoka Kijiji A kwenda B njiani unakutana na katoto kadogo kanalaza fimbo njiani na kukwambia "usiiruke" ukikadharau udogo wake ukaivuka na kujaribu kukapiga hutojua mapandikizi ya vijana yametoka wapi, utapigwa hadi uzimie.

Kamati kuu msifanye kosa la kumjadili Bashiru "dogo" na hata kumfukuza uanachama kabla ya kujilidhisha Kuna nani nyuma yake na wana ajenda gani!
 
Team Bashiru tumejipanga sana mkuu.
Cc Butiku na Warioba
Sijui kwanini huwa naona raha kwa mtibuano wa ccm.
Yaani ninaburudika kama napata SPRITE BARIDIII AU BASI🤣🤣🤣
 
Bashiru atapigwa ngumi aina ya NDOIGE, atapigwa kama ngoma
 
Tafuna hizo huku ukiendelea kusubiri matokeo ya kikao cha KK ya Chama
Sahihi mkuu.Bora nitafune hizo kwa hiyari yangu.Kuliko kupewa chipsi kavu ule halafu unatakiwa ushushie kwa pipi kifua(kijijini kwetu tunaziita pipi koo)!😂😂😂😂
 
Zama zinabadirika ila mwanadamu ni yule yule, zama zetu tukitembea umbali mrefu kutoka Kijiji A kwenda B njiani unakutana na katoto kadogo kanalaza fimbo njiani na kukwambia "usiiruke" ukikadharau udogo wake ukaivuka na kujaribu kukapiga hutojua mapandikizi ya vijana yametoka wapi, utapigwa hadi uzimie.

Kamati kuu msifanye kosa la kumjadili Bashiru "dogo" na hata kumfukuza uanachama kabla ya kujilidhisha Kuna nani nyuma yake na wana ajenda gani!
Astaghifilullah!😂😂😂😂
 
Tumaini langu ajenda itakua maswala tata yanayogusa jamii yote kwa sasa na wala sio chama
 
Back
Top Bottom