Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Tunalala giza tunaamka hatuna maji na wengine hawana ajira wala hawajui watamudu vipi gharama za maisha.

Kila kitu kipo juu.

Ila kuna fedha za kulipa vyeti feki na wafanyabiashara waliokwepa kodi.
Kwisha habari yako. Harudi tenaaa.
 
Sidhani kama anamjua mkuu. Angemjua huyo asingesema alichosema.
kwakweli hamjui . itoshe tu kumkumbusha kuwa Lowasa alikuwa na nguvu sana ajiulize kwa mara ya mwisho alimuona wapi? kwanini mzee kingunge aling'atwa na mbwa wake mwenyewe tena asubuhi akitoka mazoezini? nini kiliwatokea mbwa wale?
maswali ni mengi
 
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.

We need New constitution
 
Vipi wanajadili umeme na maji.
Hali ngumu ya maisha kwa watu wao.
Kukithiri kwa rushwa na ufumbuzi wake.
Kukithiri biashara ya madawa ya kulevya nk.
 
Hiyo
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Hii ilikuwepo hata enzi za Nyerere hivyo umuandame Mheshimiwa Samia eti kwakuwa tu humpendi.
 
Back
Top Bottom