Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

Kamati Kuu ya CCM yakutana Ikulu kwa dharula chini ya Mwenyekiti wake Rais Samia

View attachment 2423823
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.

View attachment 2423825
Wanaenda kujadili mambo ya madaraka, wakati umeme na maji yamewashinda. Wazungu kutuita manyani hawajakosea.
 
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Kwani Rais anawakirisha wachama gani!
 
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.

Kanuni zimeandikwa na nani?
 
Hivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Hii ya kufanyia vikao ikulu nadhani imeanza na mwenda zake. Niko tayari kukosolewa.
 
Uchaguzi UVCCM umewatia doa wanapanga waje na kiki gani kufunika, Kwa sasa bashiri hawawezi kumgusa maana wataendelea kumpa more mileage
 
Hii I naweza zaa vita ya "" WALIONACHO(WALAMBAJI) Vs" WASIONACHO"(WALIOSAHAULIKA)
 
Tunalala giza tunaamka hatuna maji na wengine hawana ajira wala hawajui watamudu vipi gharama za maisha.

Kila kitu kipo juu.

Ila kuna fedha za kulipa vyeti feki na wafanyabiashara waliokwepa kodi.
Sisiemu hoyeeee.....udumu mpaka kiama
 
Na bado, wataitana hadi wakome. Bashiru tu kawatetemesha hadi hawalalai tena itakuwaje siku akinguruma bwana yule..?
 
Back
Top Bottom