ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Wanaihujumu ikuluHivi kanuni zetu zinasemaje kuhusu vikao vya vyama kufanyika IKULU, manake tunavyojua sisi IKULU ni nyumba (Ofisi) kuu ya Serikali na si mali ya vyama vya siasa.
Agenda? Wafute uchaguzi wao wote wa ndani. Waliothibitika wafungiwe kugombea kwa muda kama kanuni za Chama chao zinavyotaka.
Lile kombora la bashiru limekuwa kali namna hii!?
Hawamuwezi yule ni mwanazuoni mbobezi.
Team Bashiru tumejipanga sana mkuu.Zama zinabadirika ila mwanadamu ni yule yule, zama zetu tukitembea umbali mrefu kutoka Kijiji A kwenda B njiani unakutana na katoto kadogo kanalaza fimbo njiani na kukwambia "usiiruke" ukikadharau udogo wake ukaivuka na kujaribu kukapiga hutojua mapandikizi ya vijana yametoka wapi, utapigwa hadi uzimie.
Kamati kuu msifanye kosa la kumjadili Bashiru "dogo" na hata kumfukuza uanachama kabla ya kujilidhisha Kuna nani nyuma yake na wana ajenda gani!
Kamati kuu ya wala rushwaView attachment 2423823
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika Jumanne tarehe 22 Novemba, 2022 Dodoma.
View attachment 2423825
unamkumbuka Dr. GamaHawamuwezi yule ni mwanazuoni mbobezi.
Bravo Jaji, hoja ijibiwe kwa hoja na si matusi na kejeli.
Sahihi mkuu.Bora nitafune hizo kwa hiyari yangu.Kuliko kupewa chipsi kavu ule halafu unatakiwa ushushie kwa pipi kifua(kijijini kwetu tunaziita pipi koo)!ππππTafuna hizo huku ukiendelea kusubiri matokeo ya kikao cha KK ya Chama
Astaghifilullah!ππππZama zinabadirika ila mwanadamu ni yule yule, zama zetu tukitembea umbali mrefu kutoka Kijiji A kwenda B njiani unakutana na katoto kadogo kanalaza fimbo njiani na kukwambia "usiiruke" ukikadharau udogo wake ukaivuka na kujaribu kukapiga hutojua mapandikizi ya vijana yametoka wapi, utapigwa hadi uzimie.
Kamati kuu msifanye kosa la kumjadili Bashiru "dogo" na hata kumfukuza uanachama kabla ya kujilidhisha Kuna nani nyuma yake na wana ajenda gani!
Umbwa= Mbwa [emoji240]Wakijadili mgao wa umeme na maji mniite Umbwa nimekaa paleee!