Kasimba G
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 3,428
- 2,612
Kipofu kama wewe utakuta hajawahi kukubambikiza hata kakesi kamoja!Rais Magufuli anahitaji pongezi na sio kwa CCM tu, hata wapinzani, na Watanzania wote hata wasioukua na mlengo wowote kichama.
Kwa sasa anapongezwa Afrika yote, ametenda, anatenda na atatenda, tunamuombea kwa Mungu ampe nguvu na uwezo maana kazi iliyo mbele yake inamuhitaji kwa sana, leo hii akiamua kuachia madaraka, sitegemei kama kunaye atakuja mwenye utashi wa kutekeleza haya ya leo.
Kuna vipofu wenzio boarders walikuwa waimba mapambio kama wewe wiki tatu/nne zilizopita kaenda kuwapora hela! Pambio zoote kwisha zimebaki laana tuu!
Ngozi nyeusi INA matatizo, usipoguswa unaona wanao onewa wanastahili, tatizo ni akili ndogo, ukiguswa wewe tuu unaanza laana!