Kamati kuu ya CCM yakutana Mwanza: Yampongeza Rais Magufuli, Walio hama vyama vya Upinzani waongeza Ruzuku ya chama hadi Bil 13

Pinda ni hovyo sana...kumbe CCM WAMENUNUA MADIWANI NA WABUNGE ILI KUONGEZA RUZUKU KWENYE CHAMA CHAO....CCM FANYENI BIASHARA SIASA ZIMEWASHINDA KABISAAAAAA
 
Ujinga mtupu wa kale. Yaan kamati inaitishwa kwa ajili ya kupongezana
 
Na CCM imetumia sh.ngapi kuwanunua tujue kama tumepata faida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee ni hazina kwa taifa..

Mzee Pinda katoa dira..Watanzania tumuunge mkono.

Kwa hakika watanzania tumebarikiwa sana
 
viva jonh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…