Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Mungu ibariki Chadema
Ha ha ha ha ! Cheza wewe watu wanatafta mlo.ruzuku inaenda kutafunwa hapo.
very poor !ruzuku inaenda kutafunwa hapo.
Mkuu habari za GeitaHa ha ha ha ! Cheza wewe watu wanatafta mlo.
Agenda Happ Ni hiyo ya maandalizi ya uchaguzi mkuu.Hapo wanakutana kupanga Bei kwa mtu anayetaka kugombea uraisi,ubunge na udiwani wamchaji Bei gani.Lowasa zilikuwa bilioni kibao .Sojui safari hii Nani atawapelekea pesa.
Mnaotaka kugombea chadema anzeni kuandaa pesa za kutosha
Mbatia amewazingua!
Mmeishiwa hoja sasa mnajiropokea tu !DJ atakua amesha tafuta hotel ya kifahali sasa anakwenda kupiga 10% kwenye malipo ya ukumbi wa kikao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema haijawahi kuzinguliwa na yeyote , aliyeahidi kuiua kabla ya 2020 anakaribia kufa yeye !Mbatia amewazingua!
Kwa hiyo sahivi tunafanyia wap Mlimani city au Rock city mall?
Toothless dog
Endelea kuamini unachoaminiToothless dog
Yale Mafisadi NGULI kwa sasa yapo chama Cha sisiemu (lowatha, thumaye, Bashirru, Poleharaka)Agenda Hapo kuu Ni hiyo ya maandalizi ya uchaguzi mkuu.Hapo wanakutana kupanga Bei kwa mtu anayetaka kugombea uraisi,ubunge na udiwani wamchaji Bei gani.Lowasa zilikuwa bilioni kibao .Sijui safari hii Nani atawapelekea pesa.
Mnaotaka kugombea chadema anzeni kuandaa pesa za kutosha
Mungu aendelee kuilaani.
Wameshindwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kutawala ataweza yeye asiyejitambua.Mbatia amewazingua!
Nadhani wanaenda kutunga sera mpya inayowahusu watanzania wezetu wanaoishi China kwa nini serikali haiwarudishi nchini ili wasipatwe na maambukizi ya korona.