Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #61
Karibu sanaNaona wapo Hotel ya Kifahari, hii hotel gani imenivutia manzari yakeView attachment 1358503
Karibu sanaNaona wapo Hotel ya Kifahari, hii hotel gani imenivutia manzari yakeView attachment 1358503
Ni wapi nikaribieKaribu sana
Kwa kweli kwa uandishi huu kiswahili kinakufa! Au huna meno?Naona wapo Hotel ya Kifahari, hii hotel gani imenivutia manzari yakeView attachment 1358503
Ila siyo siri Mbowe anajua kutafuna ruzuku.
Lakini huyo ni miongoni mwa wale Royal Family huko KilimanjaroIla siyo siri Mbowe anajua kutafuna ruzuku.
Baba yake Mbowe ndiye aliyempa nauli Nyerere ya kwenda UNO kudai uhuru wa Tanganyika
Mbatia amewazingua!
Acha kutukana watu bro saluWameshindwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya dola kutawala ataweza yeye asiyejitambua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hao wazungu nao ni wana CCM?
Unapenda vya kunyonga sana wewe.Unataka mfanye kama serikali za mitaa?Unakimbiaje relay mwenyewe na kujitangazia umeshinda kwa kishindo=99.9%?Wasusie uchaguzi mkuu; itakuwa freshi sana.
Tunavumila kwa Amani, Umoja,Mshikamano na Uzalendo uliobobea.Tunatakiwa kuwa kivutio cha Utalii na kuwekwa katika Guinness Book of World Wonders.Sio watanzania Mkuu, hadi pale vyombo vya dola vitakapoichoka.watanzania walishachoka zamani sana, wanavumilia tu
Mbona unajishtukia. Chadema wasusie tu uchaguzi waone kama itasaidia. Huu unaitwa ushauri wa bure.Unapenda vya kunyonga sana wewe.Unataka mfanye kama serikali za mitaa?Unakimbiaje relay mwenyewe na kujitangazia umeshinda kwa kishindo=99.9%?
Tamaa za mwenyekiti ndizo zilizoua chama.Zamani tukisikia wanakutuna tulifuatilia. Siku hizi bure kabisa
Kwa spidi hiyo atamtafuna hata ma yakoIla siyo siri Mbowe anajua kutafuna ruzuku.
Tatizo lenu ni matusi hamuwezi kushindana kwa hoja.
Tatizo lenu ni matusi hamuwezi kushindana kwa hoja.
ruzuku inaenda kutafunwa hapo.
ruzuku inaenda kutafunwa hapo.
Halafu wanajifanya kukutana kwenye mahoteli makubwa makubwa huku makao yao makuu choka ile mbaya.