Baba yako ana nyumba ya maana? Mbona anadundaHalafu wanajifanya kukutana kwenye mahoteli makubwa makubwa huku makao yao makuu choka ile mbaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baba yako ana nyumba ya maana? Mbona anadundaHalafu wanajifanya kukutana kwenye mahoteli makubwa makubwa huku makao yao makuu choka ile mbaya.
Jibu gani hilo kamanda?Baba yako ana nyumba ya maana? Mbona anadunda...
Una hoja gani wewe kapuku mtozeni ?Tatizo lenu ni matusi hamuwezi kushindana kwa hoja.
Hatutaji ili kuepuka wachawiNi wapi nikaribie
Jibu gani hilo kamanda?
Vitu na watu havilingani.Tunalinganisha watu na vitu. Hakuna tusi, comparative au superlative?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unashauri nini ? Kamilisha ujumbe wako.Ila siyo siri Mbowe anajua kutafuna ruzuku.