Laki Si Pesa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2018
- 5,673
- 9,710
hiki kikao hakina tija kwa taifa, ni kama kikao cha harusi tu
Vyombo vya dola haviwezi kuichoka maana vipo jikoni vinakula keki ya taifa taratibuSio watanzania Mkuu, hadi pale vyombo vya dola vitakapoichoka.watanzania walishachoka zamani sana, wanavumilia tu
Sawa kwani akili yako ndipo ilipoishia, wewe umezoea kupewa shilingi elfu saba (7,000/=).ruzuku inaenda kutafunwa hapo.
Mungu ibariki chadema???????????
Ndiyo mwenyekiti wa chama Bora kabisa kuwahi kutokea TanzaniaDJ atakua amesha tafuta hotel ya kifahali sasa anakwenda kupiga 10% kwenye malipo ya ukumbi wa kikao.
Sent using Jamii Forums mobile app
wako kazini na wanalipwaMkuu Erythrocyte, naomba leo nikuulize swali.
Hivi mada zako hizi ni za kibaguzi au unaziwekea aina fulani ya sumaku inayowavuta haraka sana baadhi ya watu hapa JF?
Nimejaribu kuhesabu toka juu kabisa baada ya mada yenyewe. Mwisho nikapoteza hesabu ya aina ya watu walioiparamia hiyo mada yako.
Au pengine tuseme mnayo mawasiliano maalum kati yako na wao, ya kuwakaribisha kuijibu haraka haraka mada?
Ikikupendeza, tupia mwanga kidogo juu ya hali hii.
Au, walishajua kwamba wewe ndie mwenye taarifa maalum juu ya chama chako, kwa hiyo husubiria tu ujitokeze na hapo hapo uwe 'neutralised'?
Basi sawaTushazoea...
Hamna jipya
Zamani tukisikia wanakutuna tulifuatilia. Siku hizi bure kabisaChadema haijawahi kuzinguliwa na yeyote , aliyeahidi kuiua kabla ya 2020 anakaribia kufa yeye !
Basi tunakutakia kila la heriZamani tukisikia wanakutuna tulifuatilia. Siku hizi bure kabisa
Shetani ibariki Chadema
Ulitaka wajilipie nauli na malazi,kenge kweliruzuku inaenda kutafunwa hapo.
Hakuwa na jipya hata mojaMwambe kashaunga mkono Juhudi.
Senti bai yuzingi tecno T301