Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam - Feb 15-16, 2020

Agenda Hapo kuu Ni hiyo ya maandalizi ya uchaguzi mkuu.Hapo wanakutana kupanga Bei kwa mtu anayetaka kugombea uraisi,ubunge na udiwani wamchaji Bei gani.Lowasa zilikuwa bilioni kibao .Sijui safari hii Nani atawapelekea pesa.
Mnaotaka kugombea chadema anzeni kuandaa pesa za kutosha
 
Interejesia inasemaje kutoka uko lumumba kwa wana wa buku 7
 
Yale Mafisadi NGULI kwa sasa yapo chama Cha sisiemu (lowatha, thumaye, Bashirru, Poleharaka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…