Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam - Feb 15-16, 2020

Sasa kamati kuu inakutana kujadili nini wakati kila mtu anajua mtasema mnataka tume huru na mikutano ni juzi tuu mbowe kasema hayo na leo mnapoteza hela za wanachemq wenu kurudia mambo ambayo aliongea Mbowe!


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Chadema inawatia jambajamba sana! Na bado

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siwezi kukushangaa kwani hapo ulipofikia ndio mwisho wako wa kufikiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuamini unachoamini
Mkuu Erythrocyte, naomba leo nikuulize swali.

Hivi mada zako hizi ni za kibaguzi au unaziwekea aina fulani ya sumaku inayowavuta haraka sana baadhi ya watu hapa JF?

Nimejaribu kuhesabu toka juu kabisa baada ya mada yenyewe. Mwisho nikapoteza hesabu ya aina ya watu walioiparamia hiyo mada yako.

Au pengine tuseme mnayo mawasiliano maalum kati yako na wao, ya kuwakaribisha kuijibu haraka haraka mada?

Ikikupendeza, tupia mwanga kidogo juu ya hali hii.

Au, walishajua kwamba wewe ndie mwenye taarifa maalum juu ya chama chako, kwa hiyo husubiria tu ujitokeze na hapo hapo uwe 'neutralised'?
 
Waje na mkakati tunapataje tume huru ya uchaguzi, wafahamu fika kabisa sisi wapiga kura wa upinzani hatutajitokeza kushiriki hilo zoezi bila uwepo wa tume huru ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…