Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana Jijini Dar es Salaam - Feb 15-16, 2020

Sio watanzania Mkuu, hadi pale vyombo vya dola vitakapoichoka.watanzania walishachoka zamani sana, wanavumilia tu
Vyombo vya dola haviwezi kuichoka maana vipo jikoni vinakula keki ya taifa taratibu
 
wako kazini na wanalipwa
 
Wamejirekebisha baada ya kaambiwa na chama cha Waasi (rebels) na Balozi!!!!
 
Mwambe kashaunga mkono Juhudi.

Senti bai yuzingi tecno T301
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…