Hakika. Watanzania tuendelee na maisha yetu ya kutafuta mkate wa kila siku. Siasa waendelee CCM.Hapo naunga mkono hoja mkuu, kama hakuna tume huru waache wafanye uchaguzi wao wenyewe, sasa waamue wateuane au wafanye uchaguzi peke yao.
Mkuu ucleva gani na chama kinachotumia nguvu badala ya democracy na kuacha sanduku la kura liseme.Sizungumzii yaani isahaulike kabisa Tanzania, namaanisha watapoteza wapiga kura kwasababu wengi watakata tamaa kwa yaliyotokea this year.
They need to be very clever on this, lazima wajue namna ya kukabiliana na adui yao kwa akili, sio kususa.
Mkuu ungekua tunaonana ana kwa ana ningekupa bia 3. Yaani Watanzania wote tungekua na vichwa kama hivi, huu ujinga tuliofanyiwa haungetokea. Huyu jamaa simuelewi nini nia ya kuwasukumia CHADEMA Bungeni.Maswali gani? Siko hapa kujibu maswali yako. Hayo yote unayoyapendekeza yaamefanyika tangu 1995 mpaka leo. CCM inaendelea hivyo hivyo. Chama cha siasa serious kinawaza kushika dola, siyo kuwepo kuwepo. NGOs ndio zinakuwepo kuwepo.
Ingekuwa kutokuingia bungeni ni kukata tamaa, unafikiri kwa nini wazo la Aida kutokuingia Bungeni linaihuzunisha sana CCM? Au unafikiri baada ya uchaguzi wamepata mapenzi ya ghafla kwa CHADEMA?
Huyu ni supporter wa mbogamboga. Anapata taabu moyoni bunge likibaki la CCM.Huyo jamaa mbishi sana. Kwa akili yake anafikiri eti Aida anaweza kuleta mabadiliko akiwa Bungeni. Anawaza kama mtoto mdogo ama mtu mabaye ameingia TZ jana.
Huyu jamaa hovyo kabisa.Maswali yako ni ya kitoto kabisa (sorry). Endelea kuamini kuwa Aida anaweza kupata Tume huru yeye mwenyewe Bungeni. Sana sana anakwenda kuhalalisha udhalimu uliofanyika. Ndio maana CCM wanataka aende.
DefinitelyMaslahi ya demokrasia ni makubwa kuliko wao, kama wanataka kuhama basi wahame tu.
Hatuwezi kuhalalisha haramu kuwa halali ili kuwafurahisha watu wachache!
Kaa kimya huwezi kushawishi watu wenye akili.Kama hujanielewa huwezi kunizungumzia. Usijidanganye, umesha panic.
HAPANA , nawashauri wawateue na waende bungeni.Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja...
Wapime kwanza faida na hasara na si vinginevyo na zaidi waangalie mbali.HAPANA , nawashauri wawateue na waende bungeni.
Wanaenda bungeni kwa madhumuni mbalimbali..
Kumbe mnaumia kukosekana kwa wabunge wa upinzani. Kumbuka lengo la yote yaliyofanyika ni kuua upinzani. Hakuna haja ya upinzani Bungeni, endeleeni mkiwa chama kimoja ili msicheleweshwe maendeleo.Ingawa naelewa unakotokea lakini kwenye hili natofautiana na wewe. Mimi nadhani kuwa kuna umuhimu wa Chadema kuwepo Bungeni kwa sababu zifuatazo:
1. Ingawa tutaliita kuwa ni Bunge la CCM lakini ukweli ni kuwa ni Bunge la taifa la Tanzania lenye wajumbe wengi kutoka CCM. Kwa sababu hiyo kuna haja ya uwepo wa wajumbe wataowatetea wananchi na kusimamia taifa lao...
Kuitoa ccm Ikulu kunahitaji nguvu ya wanannchi.Wapime kwanza faida na hasara na si vinginevyo na zaidi waangalie mbali.
Tatizo ni kuwa mkishaitwa Expert Member na JF basi mnaamini kuwa kweli nyie ni maexpert.Kumbe mnaumia kukosekana kwa wabunge wa upinzani. Kumbuka lengo la yote yaliyofanyika ni kuua upinzani. Hakuna haja ya upinzani Bungeni, endeleeni mkiwa chama kimoja ili msicheleweshwe maendeleo.
Yie ndo.mnashiriki kukiua hicho chama, endeleeni kutoa ushauri usio kuwa na maana.Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja...
Walioshinda ubunge kama yule dada wa Nkasi aende bungeni (japo namtilia shaka nyendo zake), viti maalum nao waende bungeni, na wale wanaoona wameonewa kwenye majimbo yao hawakushindwa kihalali waende mahakamani...
2015 Zanzibar ilienda bila upinzani mpaka 2020...Kuna faida au hasara?Mie nilishapendekeza kwamba CCM na Magufuli need to learn their lesson. Wapinzani wasijishughulishe kabisa na hili BUnge, hata wale wapinzani walioshinda ubunge nilipendekeza wajiuzulu...
Big no mkuu. Waachane nao tu. Mwakani hata Sisomi habari yeyote ya bunge. Ctaki kumjua hata spika wa bunge. Naomba akipatikan msiniambie mimi... Shit anaMkuu acha waende tu.. Maisha magumu mtaani..
Kuwazuia Wabunge wa CHADEMA kutokuwa Wabunge au Kushiriki shughuli za Bunge si tu ni Uwendazimu bali pia ni Upumbavu uliovuka Kiwango.WANAWAKE CHADEMA WAKOMALIA VITI MAALUM UBUNGE: WASEMA WAKO TAYARI KUVULIWA UANACHAMA WAKIWA BUNGENI
- Ni katika kikao kinachoendelea muda huu bahari beach Hotel
- Wanaume wawataka wanawake wa Viti Maalum kukataa Ubunge huo...