ferg
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 1,327
- 1,800
Jambo la kwanza litakalofanyika,Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja...
Ni kubadili sheria ili mbunge akivuliwa uanachama na chama chake aendelee kuwa mbunge. Ili wale watano waendelee kuwepo bungeni hata kama vyama vyao vitaamua vinginevyo
Sent from my vivo 1611 using JamiiForums mobile app