Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
- Thread starter
- #121
Hoja nzuri sana. Mwenye masikio na asikie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasipoenda bungeni wafanye nini?Yaani wafanyiwe kila aina ya uharamia halafu waingie bungeni kwa njia ya asante NEC?.
Huu siyo muda wa kugawana nafasi za kula, kuingia bungeni ni kulegitimise mchakato haramu..
Divide and rule, wanataka wawape ubunge alafu wawashawishi waunge juhudi, huu ni upumbavu tu wa nchi hiiKwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja...
Matiko and bulaya are too ASSY to be on the sideline....Kuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.
Hili swali ungemuuliza mleta mada...Wanaingiaje kama wabunge wa viti maalumu wakati chama chao kina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa ?
Ndio.Unaelewa jinsi wabunge wa viti maalumu wanavyopata nafasi ya kuingia bungeni ?
Mimi nafahamu idadi ya kura alizopata mgombea uraisi hutumika pia kama mojawapo ya kigezo cha kuamua idadi ya wabunge wa vitu maalumu.H
Hili swali ungemuuliza mleta mada...
Leo umeongea neoWalioshinda ubunge kama yule dada wa Nkasi aende bungeni, viti maalum nao waende bungeni, na wale wanaoona wameonewa kwenye majimbo yao hawakushindwa kihalali waende mahakamani...
Magufuli ndo aliyeanzisha haya mambo ya chuki visas na kutubaguaWana hasira sana na wamejawa na roho za wivu, visasi kiasi kiasi cha kuwaza suluhu kwao ni mauaji.... na hii inatupa wananchi mwanga wa kuwajua zaidi, tunazidi kuwaona walivyo wachanga kisiasa na kwa maana nyingine hawafai kushika...
Bungeni wataenda, wewe kama hutaki usiende...Mimi nafahamu idadi ya kura alizopata mgombea uraisi hutumika pia kama mojawapo ya kigezo cha kuamua idadi ya wabunge wa vitu maalumu.
Pole hujui. Idadi ya wabunge at least 5% ndiyo inatumika kupata wabunge wa viti maalum. Kura za mgombea urais zinatumika kupata ruzuku.Mimi nafahamu idadi ya kura alizopata mgombea uraisi hutumika pia kama mojawapo ya kigezo cha kuamua idadi ya wabunge wa vitu maalumu.
HAUKUA UCHAGUZI, HAKUNA UBUNGE wala VITI MAALUM.
Brand ya CHADEMA lazima iheshimiwe na kila Mwana CHADEMA, anaetaka kula damu ya VYEO aende CCM.
Hutaki mpaka leo kukubali mlishinda kwa hila, utakuwa namba moja kwa ubishi duniani.Wana hasira sana na wamejawa na roho za wivu, visasi kiasi kiasi cha kuwaza suluhu kwao ni mauaji.... na hii inatupa wananchi mwanga wa kuwajua zaidi, tunazidi kuwaona walivyo wachanga kisiasa na kwa maana nyingine hawafai kushika.
Tunahitaji viongozi na chama ambacho kinapokua na mamlaka kitaweka maslahi ya taifa mbele na kujali wananchi wake bila kuhoji tofauti zao za vyama, dini, ukabila. Na hadi sasa chama kinachoweza hayo ni kimoja tuu, nacho ni CCM
Hahaha jomba unawadanganya wenzako unataka kuwaingiza Chaka...kwanza unachekesha sijui unatia huruma. Kwa sababu kwanza umeonyesha dharau kwa watanzania kwa maneno yako Ni Kama vile hizo kura wamejipa wenyewe..nikwambie tu kwanza kura sisi wananchi ndio tumewapa kwa sababu tumeona wapo serious na maendeleo ya nchi hii..sio maendeleo ya kinafiki mnayotaka kufanya..hakuna lolote mmekalia makelele tu na mayowe..wananchi tuliamua kwa neema ya Mungu tuwapige chini wote kwa sababu hatuoni faida yenu.Kwanza nianze kwa kusema kuwa, Katika vitu ambavyo CCM kwa sasa wanatamani vitokee, ni kupata wabunge wa upinzani japo wachache ili kuondoa dhana ya Bunge kuitwa Bunge la CCM-Bunge la chama kimoja..