Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

Kupambana kijeshi ni ngumu sana. Watakuwa-crushed. Jeshi letu lina nguvu sana na liko upande wa CCM. Na hawatapata sapoti ya Watanzania. Kama ambavyo hawakupata kwenye maandamano. Wanatakiwa waunde vikosi vya underground vinavyolenga wahusika wa uchaguzi na CCM yenyewe - soft targets.
Hata ikibidi wafanye mapatano na nchi fulani fulani kuja kupambana kijeshi (watafute mercenaries) na watiifu wa nchi hii.
 
Itakuwa ni suala la muda tu mkuu. Ikitokea katiba mpya imepatikana wote watarejea na wengine wwngi wataunga mkono upinzani.

Wazo lako litakuwa kweli endapo upinzani utabweteka mpk 2025 halafu wakajidangqnya ama kudanganywa kushiriki uchaguzi chini ya katiba hii hii inayozaa tume-ccm.
Kwangu kususa sio solution kabisa, kina Ndugai watanenepa kule bungeni, bora warudi wakawakere tu.
 
Hunielewi kwa nini, ndio maana nikasema warudi bungeni kama platform mojawapo yakudai katiba mpya, wewe una suggest ipi? na hiyo unayo suggest ni practicable under the current regime?
Kwa uchache wa wabunge wa upinzani waliopo mkuu haiwezekani kqbisa madai yao kusikilizwa. Spika Ndugai na naibu wake Tulia wanaweza kupokea hoja nzito kama hiyo toka upinzani? Kumbuka imeshindikana ktk bunge la 2015 -2020 ambqpo walikuwa wengi kuliko wa Sasa.

Pendekezo langu. Upinzani utafute mashinikizo toka nchi wahisani. Ama watafute mercenaries.
 
Maswali gani? Siko hapa kujibu maswali yako. Hayo yote unayoyapendekeza yaamefanyika tangu 1995 mpaka leo. CCM inaendelea hivyo hivyo. Chama cha siasa serious kinawaza kushika dola, siyo kuwepo kuwepo. NGOs ndio zinakuwepo kuwepo.

Ingekuwa kutokuingia bungeni ni kukata tamaa, unafikiri kwa nini wazo la Aida kutokuingia Bungeni linaihuzunisha sana CCM? Au unafikiri baada ya uchaguzi wamepata mapenzi ya ghafla kwa CHADEMA?
Hujajibu maswali yangu, halafu unaonekana ni mtu unaekata tamaa upesi, haya ndio mapito ya kuitafuta demokrasia ya kweli wandugu.
 
Maswali gani? Siko hapa kujibu maswali yako. Hayo yote unayoyapendekeza yaamefanyika tangu 1995 mpaka leo. CCM inaendelea hivyo hivyo. Chama cha siasa serious kinawaza kushika dola, siyo kuwepo kuwepo. NGOs ndio zinakuwepo kuwepo.

Ingekuwa kutokuingia bungeni ni kukata tamaa, unafikiri kwa nini wazo la Aida kutokuingia Bungeni linaihuzunisha sana CCM? Au unafikiri baada ya uchaguzi wamepata mapenzi ya ghafla kwa CHADEMA?
Sasa utashikaje dola kwa kugoma?!

Mna panic tu.
 
Kwangu kususa sio solution kabisa, kina Ndugai watanenepa kule bungeni, bora warudi wakawakere tu.
Mkuu kususa kutawaumiza Sana. Watakosa fedha za kuendeshea serikali yao.

Zanzibar hawakupata taabu hii kwasabb walibebwa na bara. Halafu Zanzibar siyo nchi kwa mujibu wa katiba yetu. Subiri mbinyo atakaoupata Magufuli na CCM. Wataomba poo.

Unadhani Ile hand shake ya Uhuru na Odinga ilikuja kwa hiari ya Uhuru?
 
Kwa uchache wa wabunge wa upinzani waliopo mkuu haiwezekani kqbisa madai yao kusikilizwa. Spika Ndugai na naibu wake Tulia wanaweza kupokea hoja nzito kama hiyo toka upinzani? Kumbuka imeshindikana ktk bunge la 2015 -2020 ambqpo walikuwa wengi kuliko wa Sasa.

Pendekezo langu. Upinzani utafute mashinikizo toka nchi wahisani. Ama watafute mercenaries.
Sasa kama bungeni itashindikana, unadhani nje ya bunge ndio watafanikiwa?!
 
Huyo jamaa mbishi sana. Kwa akili yake anafikiri eti Aida anaweza kuleta mabadiliko akiwa Bungeni. Anawaza kama mtoto mdogo ama mtu mabaye ameingia TZ jana.

Maswali yako ni ya kitoto kabisa (sorry). Endelea kuamini kuwa Aida anaweza kupata Tume huru yeye mwenyewe Bungeni. Sana sana anakwenda kuhalalisha udhalimu uliofanyika. Ndio maana CCM wanataka aende.
Sasa kama bungeni itashindikana, unadhani nje ya bunge ndio watafanikiwa?!
 
Mkuu kususa kutawaumiza Sana. Watakosa fedha za kuendeshea serikali yao.

Zanzibar hawakupata taabu hii kwasabb walibebwa na bara. Halafu Zanzibar siyo nchi kwa mujibu wa katiba yetu. Subiri mbinyo atakaoupata Magufuli na CCM. Wataomba poo.

Unadhani Ile hand shake ya Uhuru na Odinga ilikuja kwa hiari ya Uhuru?
Tatizo hayo mambo sio guaranteed, halafu mzungu anaweza kuja na njia nyingine tofauti ya huo mbinyo, itakuwaje?!

Lakini pia wanaweza binywa ila bado wakaendelea kujikongoja hivyo hivyo, hapa tuwe makini na options zote.
 
Kuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.

Maslahi ya demokrasia ni makubwa kuliko wao, kama wanataka kuhama basi wahame tu.
Hatuwezi kuhalalisha haramu kuwa halali ili kuwafurahisha watu wachache!
 
Sasa kama bungeni itashindikana, unadhani nje ya bunge ndio watafanikiwa?!
Ndiyo mbadala uliobakia na hakuna namna. Lkn kuendelea kutumia njia ile Ile huku tukitarajia matokeo tofauti huu ndiyo akina Einstein waliita uchizi.
 
Huyo jamaa mbishi sana. Kwa akili yake anafikiri eti Aida anaweza kuleta mabadiliko akiwa Bungeni. Anawaza kama mtoto mdogo ama mtu mabaye ameingia TZ jana.
Kama hujanielewa huwezi kunizungumzia. Usijidanganye, umesha panic.
 
Ndiyo mbadala uliobakia na hakuna namna. Lkn kuendelea kutumia njia ile Ile huku tukitarajia matokeo tofauti huu ndiyo akina Einstein waliita uchizi.
Njia pekee ya kuleta significant impact ni maandamano, tatizo hatuiwezi, nyingine zote ni kupoteza muda tu.
 
Hiki ndio Watanzania tunachokosa kwa wingi wetu. Hata hao walioko kwa upande ule wa dikteta wakipiga makofi, wako huko kwa maslahi binafsi. Polepole/Palamagamba walitwambia kuwa nchi inahitaji NEC huru lakini leo hii kwa ajili ya matumbo yao wako upande uleule wa NECCM. Watanzania wengi hawajali maslahi ya nchi. Wanajali maslahi binafsi.

Back
Top Bottom