lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Chadema oeke yake haikuitwa, ila vyama vigine pinzani viliitwa mbatia na zitto ni wanafiki sanaAkina Mbowe na Lissu waliitwa Ikulu? sikumbuki katika miaka 5 hii iliyopita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema oeke yake haikuitwa, ila vyama vigine pinzani viliitwa mbatia na zitto ni wanafiki sanaAkina Mbowe na Lissu waliitwa Ikulu? sikumbuki katika miaka 5 hii iliyopita.
Hata ikibidi wafanye mapatano na nchi fulani fulani kuja kupambana kijeshi (watafute mercenaries) na watiifu wa nchi hii.
Kwangu kususa sio solution kabisa, kina Ndugai watanenepa kule bungeni, bora warudi wakawakere tu.Itakuwa ni suala la muda tu mkuu. Ikitokea katiba mpya imepatikana wote watarejea na wengine wwngi wataunga mkono upinzani.
Wazo lako litakuwa kweli endapo upinzani utabweteka mpk 2025 halafu wakajidangqnya ama kudanganywa kushiriki uchaguzi chini ya katiba hii hii inayozaa tume-ccm.
Kwa uchache wa wabunge wa upinzani waliopo mkuu haiwezekani kqbisa madai yao kusikilizwa. Spika Ndugai na naibu wake Tulia wanaweza kupokea hoja nzito kama hiyo toka upinzani? Kumbuka imeshindikana ktk bunge la 2015 -2020 ambqpo walikuwa wengi kuliko wa Sasa.Hunielewi kwa nini, ndio maana nikasema warudi bungeni kama platform mojawapo yakudai katiba mpya, wewe una suggest ipi? na hiyo unayo suggest ni practicable under the current regime?
Chadema hawakuitwa. Ndo maana juzi zito akihamasisha maandamano nikashangaa sana wakati wa kampeni alisema" magufuli anaenda kumaliz muda wake na hata badilisha katiba" Yaan wanasiasa sio wakuwaamini hata kidogoNot Chadema.
Hujajibu maswali yangu, halafu unaonekana ni mtu unaekata tamaa upesi, haya ndio mapito ya kuitafuta demokrasia ya kweli wandugu.
Sasa utashikaje dola kwa kugoma?!Maswali gani? Siko hapa kujibu maswali yako. Hayo yote unayoyapendekeza yaamefanyika tangu 1995 mpaka leo. CCM inaendelea hivyo hivyo. Chama cha siasa serious kinawaza kushika dola, siyo kuwepo kuwepo. NGOs ndio zinakuwepo kuwepo.
Ingekuwa kutokuingia bungeni ni kukata tamaa, unafikiri kwa nini wazo la Aida kutokuingia Bungeni linaihuzunisha sana CCM? Au unafikiri baada ya uchaguzi wamepata mapenzi ya ghafla kwa CHADEMA?
Mkuu kususa kutawaumiza Sana. Watakosa fedha za kuendeshea serikali yao.Kwangu kususa sio solution kabisa, kina Ndugai watanenepa kule bungeni, bora warudi wakawakere tu.
Sasa kama bungeni itashindikana, unadhani nje ya bunge ndio watafanikiwa?!Kwa uchache wa wabunge wa upinzani waliopo mkuu haiwezekani kqbisa madai yao kusikilizwa. Spika Ndugai na naibu wake Tulia wanaweza kupokea hoja nzito kama hiyo toka upinzani? Kumbuka imeshindikana ktk bunge la 2015 -2020 ambqpo walikuwa wengi kuliko wa Sasa.
Pendekezo langu. Upinzani utafute mashinikizo toka nchi wahisani. Ama watafute mercenaries.
Kwa uchache wa wabunge wa upinzani waliopo mkuu haiwezekani kqbisa madai yao kusikilizwa. Spika Ndugai na naibu wake Tulia wanaweza kupokea hoja nzito kama hiyo toka upinzani? Kumbuka imeshindikana ktk bunge la 2015 -2020 ambqpo walikuwa wengi kuliko wa Sasa.
Pendekezo langu. Upinzani utafute mashinikizo toka nchi wahisani. Ama watafute mercenaries.
Tatizo dola huwezi kuiondoa kwa sanduku la kura kwa katiba na tume ya Sasa. Kugoma ni kuichonganisha CCM na wahisani.Sasa utashikaje dola kwa kugoma?!
Sasa kama bungeni itashindikana, unadhani nje ya bunge ndio watafanikiwa?!
Tatizo hayo mambo sio guaranteed, halafu mzungu anaweza kuja na njia nyingine tofauti ya huo mbinyo, itakuwaje?!Mkuu kususa kutawaumiza Sana. Watakosa fedha za kuendeshea serikali yao.
Zanzibar hawakupata taabu hii kwasabb walibebwa na bara. Halafu Zanzibar siyo nchi kwa mujibu wa katiba yetu. Subiri mbinyo atakaoupata Magufuli na CCM. Wataomba poo.
Unadhani Ile hand shake ya Uhuru na Odinga ilikuja kwa hiari ya Uhuru?
Kuna mnyukano huko wa hatari kina Matiko, Mdee, Bulaya, Magelesi and the likes wameunda women wing kushinikiza kamati kuu kuwaruhusu wateuliwe na kushiriki bingeni kama viti maalum, vinginevo wakiwahama wasilalamike.
Ndiyo mbadala uliobakia na hakuna namna. Lkn kuendelea kutumia njia ile Ile huku tukitarajia matokeo tofauti huu ndiyo akina Einstein waliita uchizi.Sasa kama bungeni itashindikana, unadhani nje ya bunge ndio watafanikiwa?!
Tatizo dola huwezi kuiondoa kwa sanduku la kura kwa katiba na tume ya Sasa. Kugoma ni kuichonganisha CCM na wahisani.
Kama hujanielewa huwezi kunizungumzia. Usijidanganye, umesha panic.Huyo jamaa mbishi sana. Kwa akili yake anafikiri eti Aida anaweza kuleta mabadiliko akiwa Bungeni. Anawaza kama mtoto mdogo ama mtu mabaye ameingia TZ jana.
Njia pekee ya kuleta significant impact ni maandamano, tatizo hatuiwezi, nyingine zote ni kupoteza muda tu.Ndiyo mbadala uliobakia na hakuna namna. Lkn kuendelea kutumia njia ile Ile huku tukitarajia matokeo tofauti huu ndiyo akina Einstein waliita uchizi.
Maslahi ya demokrasia ni makubwa kuliko wao, kama wanataka kuhama basi wahame tu.
Hatuwezi kuhalalisha haramu kuwa halali ili kuwafurahisha watu wachache!