Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

Kamati Kuu ya CHADEMA, mkiteua wabunge wa Viti Maalumu kuingia Bungeni, mtakuwa mmefanya kosa kubwa sana

Chadema, kujiimarisha na kujiporomosha vyote viko mikononi mwenu.

Bora kufa kishujaa kuliko kuishi ukiwa unamuabudu, unasujudu, na kumsifu nyapara jiwe
Chadema msidanganywe ...hao wanaowambia msusie watawapa fedha za ruzuku...hao kweli wanaweza kuwachangia hata milioni hamsini kila mwezi..akili za kuambiwa changanya na za kwako. Mimi ninawashauri msisuse..mtaumia zaidi..afadhili kushiba kwa masimango kuliko kufa kwa njaa..wenzenu cuf walisusia Zanzibar walipata Nini...

si mmeona mwendo umekuwa ule ule..na Sasa hivi wasusie pia...wataendelea kupoteana.. kikubwa Mimi naona ruzuku Ni muhimu kwenye kujenga chama...kwa kauli yenu ya chadema msingi.

Kikubwa tumuonge mkono mheshimiwa rais kuijenga Tanzania yetu..kwa upendo na amani..uchaguzi umeisha tuijenge nchi sasa
 
Kamati Kuu Ya CHADEMA Ipo Kwenye Kikao. Mjadala Mkubwa Ni Viti Maalumu. Je Wakubali Au Wakatae?

Unadhani Wakubali Kwa Msingi Kwamba Fisi Hasusiwi Bucha? Au Wakatae Kwa Msingi Kwamba Hawakubaliani Na Mchakato Mzima Wa Uchaguzi Na Matokeo Yake? Nini Maoni Yako?

Jadili kwa maslahi mapana ya Taifa, amani, haki na ustawi wa Demokrasia ya kweli nchini
Chadema ndo inajipigia last kick kwenye casket...
 
WAkubali... kishindwa ila wakapinge kwa lugha nzuri na kwa hoja safi.. sio kutukanana bungeni.
 
Chadema msidanganywe ...hao wanaowambia msusie watawapa fedha za ruzuku...hao kweli wanaweza kuwachangia hata milioni hamsini kila mwezi..akili za kuambiwa changanya na za kwako..Mimi ninawashauri msisuse..mtaumia zaidi..afadhili kushiba kwa masimango kuliko kufa kwa njaa..wenzenu cuf walisusia Zanzibar walipata Nini...si mmeona mwendo umekuwa ule ule..na Sasa hivi wasusie pia...wataendelea kupoteana.. kikubwa Mimi naona ruzuku Ni muhimu kwenye kujenga chama...kwa kauli yenu ya chadema msingi..
Kikubwa tumuonge mkono mheshimiwa rais kuijenga Tanzania yetu..kwa upendo na amani..uchaguzi umeisha tuijenge nchi sasa

Kazi ya ruzuku si kusaidia kujenga chama?
Na lengo la chama si kushika dola?

Kama unafanyiwa uharamia ili usishike dola wakati wananchi wanataka kukupa ridhaa kuna haja ya kupigania makombo ya ruzuku?

Kama Chadema kitaingia bungeni sababu ya ruzuku basi kitakuwa ni chama cha ruzuku, cha dili, kisichosimamia chochote katika misimamo ya kudai haki katika nchi!
 
Kususa kama chama itakuwa anguko kuwepo hata wachache bungeni sauti yao itakuwa muhimu japo watakuwa hawana meno sana,kutokupeleka kabisa wanajizika wenyewe kisiasa
 
Kazi ya ruzuku si kusaidia kujenga chama?
Na lengo la chama si kushika dola?
Kama unafanyiwa uharamia ili usishike dola wakati wananchi wanataka kukupa ridhaa kuna haja ya kupigania makombo ya ruzuku?

Kama Chadema kitaingia bungeni sababu ya ruzuku basi kitakuwa ni chama cha ruzuku, cha dili, kisichosimamia chochote katika misimamo ya kudai haki katika nchi!
Sasa hizo harakati za kutafuta kuishika dola zinafanyika kwa maneno..Zina itaji watu na vifaa..kufikisha chadema huko sumbawanga vijijini.

Sasa hao watu watazunguka hii Tanzania kwa miguu..ili uweze kujenga chama unaitaji fedha..hizo fedha watazitoa wapi..Kama wangekuwa na wafadhili wawape kuanzia milioni Mia mbili kila mwezi sawa, lakini ndugu yangu naona kususia ndio kukiuachama na sio kukijenga..narudia afadhali kushiba kwa masingo kuliko kufa kwa njaa ukijifanya mgumu, CUF wanalijua hili vizuri

Narudia chedema akili za kuambiwa changanyeni na za kwenu...wanaowaambia msusie hawawatakii mema..wanataka mpotee jumla
 
Wakihalalisha haramu kuwa halali basi wajue CCM itarudia michezo hii tena na tena na wananchi watawaona kuwa ni chama cha ruzuku tu hakipo tayari kutetea principle zao!

Chadema hawawezi kudai eti bora waende bungeni na hivyo eti kwa uchache wao huo wakatetee wananchi!! , wakawatetee kwa nani?, yaani wakawateteee wananchi kwa serikali hii hii ya CCM iliyowapora uchaguzi waziwazi?

Chadema hawawezi kutangaza kutoutambua uchaguzi hakafu wakatoka hapo eti wanataka wanufaike na uchaguzi huo wasioutambua!

Kamati kuu isimame imara, ikikubali kuhalalisha ujinga basi nayo itakuwa jinga na haitokuwa na maana iwepo!

Na wawe makini na watu wa dini watakaotumwa kwao kuwalainisha ili walainike na pia wawe makini na ID za mitandaoni zitakazokuwa zikitumika kuwapa ushauri wa kukubaliana na haramu ile.

Chadema isimamie msemo wae wa Sasa basi, ili tuanze chapter mpya ya kudai tume huru ya uchaguzi na katiba mpya!
 
Wakikubali offer ya viti maalumu naacha kuunga mkono upinzani immediately
That is not an offer , ni haki yao ya kikatiba , labda waamue kuiacha tu kwa sababu ya mikakati ya kisiasa , lakini hawajapewa na mtu , hii imepatikana kutokana na idadi ya kura za mgombea wao wa Urais
 
Watajua wenyewe waroho hao.. Na nakuhalikishia hivyo viti maalumu ndio vitasambaratisha hicho chama jumla
 
Sasa hizo harakati za kutafuta kuishika dola zinafanyika kwa maneno..Zina itaji watu na vifaa..kufikisha chadema huko sumbawanga vijijini...Sasa hao watu watazunguka hii Tanzania kwa miguu..ili uweze kujenga chama unaitaji fedha..hizo fedha watazitoa wapi..Kama wangekuwa na wafadhili wawape kuanzia milioni Mia mbili kila mwezi sawa...lakini ndugu yangu naona kususia ndio kukiuachama na sio kukijenga..narudia afadhali kushiba kwa masingo kuliko kufa kwa njaa ukijifanya mgumu..cuf wanalijua hili vizuri
Narudia chedema akili za kuambiwa changanyeni na za kwenu...wanaowaambia msusie hawawatakii mema..wanataka mpotee jumla
kwa mfumo huu wa sasa hata CHADEMA ikipata kura 99%
wataambiwa wamepata 15% tu

Kama Chadema inataka kujimaliza tena kwa aibu kubwa na pia wananchi waidharau basi ipeleke wabunge wa kupewa na NEC bungeni.

Struggle hapa ni tume huru ya uchaguzi na katiba mpya, na struggle hiyo haiwezi kupatikana katka bunge la CCM

Wananchi tuko tayari kuchangia chama kwenye struggle hiyo kwa senti zetu
 
Back
Top Bottom