M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Uongozi wa Chadema utoe sharti moja tu kwa NEC ili Lissu akubali kutumikia adhabu yao - wathibitishe kwa maandishi kupokea malalamiko ya Chadema kuhusu mgombea wa CCM na watoe sababu zinazowafanya NEC wasimchukulie hatua huyo mgombea wa CCM.
NEC wakifanya hivyo by leo Jumamosi na wakaweza kutoa maelezo yatakayojibu kikamilifu hoja za Chadema, then Lissu atumikie adhabu yake.
vinginevyo, Tundu Lissu kesho Jumapili wewe endelea na libeneke!
NEC wakifanya hivyo by leo Jumamosi na wakaweza kutoa maelezo yatakayojibu kikamilifu hoja za Chadema, then Lissu atumikie adhabu yake.
vinginevyo, Tundu Lissu kesho Jumapili wewe endelea na libeneke!